#COVID19 Covid-19 itatumaliza, Wizara ya Afya imekaa kimya kama vile haipo

#COVID19 Covid-19 itatumaliza, Wizara ya Afya imekaa kimya kama vile haipo

Mkuu serikali ikupe nini zaidi ya chanjo usalama wa afya uko mikonon mwako amua ww kwenda uwanjan,mikutano,daladala au kaa nyumbn yote ni juu ya mwenye afya
Hivi unaona wizara ina mtu kweli wa kuiongoza?
 
Kama chanjo ipo na hamtaki kuchanja,Serikali ikuchanje kwa nguvu?

Barakoa pia hamtaki kuvaa,kila mtu ni mjuaji wa masuala yote,ili mradi awe na Smart phone na bando tu,

Ujinga umetamalaki kwa kujiaminisha kua huo ndio ujuaji! Endeleeni kumsikiliza Kibwetere tu.
Kosa la serikali ni kusema chanjo ni hiari
 
Serikali imeleta chanjo watu hawataki hata kuchanja, bado mnalaumu serikali. Leo hii kumbi za starehe na mikusanyiko ikipigwa marufuku kuna watu watakuja kulia hapa kwa kukosa ajira. Fikiria kwa mfano unasitisha shuhuli za masoko kama Kariakoo ilikuepuka msongamano. Cha msingi sisi watanzania tufuate ushauri wa kitaalamu tuachane na wapitoshaji.
Serikali hiyohiyo unayoisema ndiyo ilitengeza tatizo kwa kuaminisha raia waku kuwa COVID 19 ni vijimafua tu kwahiyo watu wachape kazi!
 
Wananchi tunaamini maombi tuliyoomba Mungu kutuepusha na Corona kuwa alitusikia ndio maana tumegoma kuchanja mleta mada kama ulidharau Yale maombi jiandae kufa na Corona hata kama umechanja na kibarakoa chako

Waliodharau Yale maombi wanapukutika hasa
 
Watanzania niwapumbavu utamkuta mtu kamaliza chuokikuu anadanganywa na gwajima boy darasa lasita yuletapeli mjingamkubwa
 
Na kweli kabisa. Watu wanaokataa kuchanja kwa kumsikiliza Gwajima, wana tofauti gani na wafuasi wa Kibwetere waliochomwa moto?
Unataka kusema huko Ulaya wanakogoma chanjo wanamsikiliza Gwajima?
 
Serikali hiyohiyo unayoisema ndiyo ilitengeza tatizo kwa kuaminisha raia waku kuwa COVID 19 ni vijimafua tu kwahiyo watu wachape kazi!
Mkuu Unafikir UHATARI wa Corona unategemea matamko ya serikali?
 
Watanzania niwapumbavu utamkuta mtu kamaliza chuokikuu anadanganywa na gwajima boy darasa lasita yuletapeli mjingamkubwa
Mkuu unataka kusema hata huko Ulaya wanakopinga chanjo ni WAPUMBAVU na wanamsikiliza Gwajima?
 
Gwajiiii boyyyyyyyy oyeeeeeea Gwajiiiii boyyyy tunachanja hatuchanji? X10

🥺🥺🥺 Unataka serikalinikufuate maskani kwako ikubembeleze ?
 
Corona haui kinachokuua ni magonjwa yako mengine ndani ya mwili, kilicho hai lazima kife
 
Yaan tuache kumuabudu Mungu kisa uhuni wa kuitwa corona? Tubu na kututaka radhi.
 
Wananchi tunaamini maombi tuliyoomba Mungu kutuepusha na Corona kuwa alitusikia ndio maana tumegoma kuchanja mleta mada kama ulidharau Yale maombi jiandae kufa na Corona hata kama umechanja na kibarakoa chako

Waliodharau Yale maombi wanapukutika hasa
Ukisikia mlevi wa dini ndio kama wewe. Unaamini Corona inaondoka kwa maombi hivi wewe ni mzima kweli kichwani?
 
Kwenye masuala ya kovidi hii ndio wizara ya afya 👇
images (98).jpeg

Na huyu ndio Waziri wa Afya 👇😁
images (99).jpeg
 
Ugonjwa wa covid 19 au uviko unaenea kwa kasi nchini.wizara ya afya utadhani haipo.hakuna jitihada zozote zinazofanywa na wizara hii kuhamasisha wananchi kujikinga na huu ugonjwa wa corona covid-19.

Tayari leo Simba Sports club ishapoteza mmoja wa viongozi mashuhuri ambaye siku chache alihojiwa na kusema wazi anaugua covid 19. Sasa mtu kama huyu maarufu keshachanyikana na watu wangapi? Kaambukiza wangapi? Jamani tunalichukulia kimzaha suala la huu ugonjwa wa covid 19, itafika siku tutakuwa hatuna budi kukaa nyumbani maana hata makazini hakutakalika.

Kuna tabu au tatizo lipi kwa wizara bila kujali lawama,shutuma n.k kupiga marufuku mikusanyiko yote iwe ya mipira hasa simba na yanga, mikutano ya kiinjili, mihadhara ya kiislamu, matangazo ya kibiashara, upigaji muziki unaokusanya watu, mikutano ya hadhara ya vyama n.kNYIE WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INABIDI MCHUKUE UAMUZI MGUMU.
Unaonaje ukakaa tu lockdown mwenyewe ndani ya nyumba yako? Au unataka wizara ije ikulazimishe?
 
Back
Top Bottom