#COVID19 Covid-19 itatumaliza, Wizara ya Afya imekaa kimya kama vile haipo

Mkuu serikali ikupe nini zaidi ya chanjo usalama wa afya uko mikonon mwako amua ww kwenda uwanjan,mikutano,daladala au kaa nyumbn yote ni juu ya mwenye afya
Hivi unaona wizara ina mtu kweli wa kuiongoza?
 
Kosa la serikali ni kusema chanjo ni hiari
 
Serikali hiyohiyo unayoisema ndiyo ilitengeza tatizo kwa kuaminisha raia waku kuwa COVID 19 ni vijimafua tu kwahiyo watu wachape kazi!
 
Serikali hiyohiyo unayoisema ndiyo ilitengeza tatizo kwa kuaminisha raia waku kuwa COVID 19 ni vijimafua tu kwahiyo watu wachape kazi!
 
Wananchi tunaamini maombi tuliyoomba Mungu kutuepusha na Corona kuwa alitusikia ndio maana tumegoma kuchanja mleta mada kama ulidharau Yale maombi jiandae kufa na Corona hata kama umechanja na kibarakoa chako

Waliodharau Yale maombi wanapukutika hasa
 
Watanzania niwapumbavu utamkuta mtu kamaliza chuokikuu anadanganywa na gwajima boy darasa lasita yuletapeli mjingamkubwa
 
Na kweli kabisa. Watu wanaokataa kuchanja kwa kumsikiliza Gwajima, wana tofauti gani na wafuasi wa Kibwetere waliochomwa moto?
Unataka kusema huko Ulaya wanakogoma chanjo wanamsikiliza Gwajima?
 
Serikali hiyohiyo unayoisema ndiyo ilitengeza tatizo kwa kuaminisha raia waku kuwa COVID 19 ni vijimafua tu kwahiyo watu wachape kazi!
Mkuu Unafikir UHATARI wa Corona unategemea matamko ya serikali?
 
Watanzania niwapumbavu utamkuta mtu kamaliza chuokikuu anadanganywa na gwajima boy darasa lasita yuletapeli mjingamkubwa
Mkuu unataka kusema hata huko Ulaya wanakopinga chanjo ni WAPUMBAVU na wanamsikiliza Gwajima?
 
Gwajiiii boyyyyyyyy oyeeeeeea Gwajiiiii boyyyy tunachanja hatuchanji? X10

🥺🥺🥺 Unataka serikalinikufuate maskani kwako ikubembeleze ?
 
Corona haui kinachokuua ni magonjwa yako mengine ndani ya mwili, kilicho hai lazima kife
 
Yaan tuache kumuabudu Mungu kisa uhuni wa kuitwa corona? Tubu na kututaka radhi.
 
Ukisikia mlevi wa dini ndio kama wewe. Unaamini Corona inaondoka kwa maombi hivi wewe ni mzima kweli kichwani?
 
Kwenye masuala ya kovidi hii ndio wizara ya afya 👇
Na huyu ndio Waziri wa Afya 👇😁
 
Unaonaje ukakaa tu lockdown mwenyewe ndani ya nyumba yako? Au unataka wizara ije ikulazimishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…