#COVID19 Covid-19 itatumaliza, Wizara ya Afya imekaa kimya kama vile haipo

Mazoezi hutaki,
Kuvaa barakoa hutaki,
Kunawa mikono hutaki,
Kukaa umbali wa mita moja na nusu kati yako na wenzako hutaki,
Kupiga nyungu hutaki unaona ni ujadi,
Kutumia tiba mbadala ya matangawizi na marimao huwezi
Basi chanja hutaki,
Epuka misongamano hutaki,
Serikali ikuambie lipi jipya ambalo hujasikia?
 
Mkuu serikali ikupe nini zaidi ya chanjo usalama wa afya uko mikonon mwako amua ww kwenda uwanjan,mikutano,daladala au kaa nyumbn yote ni juu ya mwenye afya
Mbona wanaochanjwa ndio wanakufa sasa?
 
Askofu gwajiboy aishaipasuapasua
 
Mkuu hii ni kweli kbsa ,
Wengi walibeba pale,
Hata mchambuzi wetu mashuhuri baada kurudi kule ndio alianza kujiskia vibaya,kuumwa hadi mauti kumkuta
Muda mwingine madalali wa chanjo huwa wanatumia ‘niche targeting’ ili kupata ‘free publicity’
 
Kosa la serikali ni kusema chanjo ni hiari
Hata isingesema, mwisho wa serikali upo nje ya mwili wangu, kunipa vitu nisivyotaka hakuna wa kunilazimisha kuingiza takataka na kemikali chini ya ngozi yangu, nasema Big No!
Ninyi mnaotaka kufuata kila inachotaka serikali ifuateni ninyi...ndani ya mwili wangu marufuku.
Kumamae zenu mnaotaka kutu enslave
 
Yaan tuache kumuabudu Mungu kisa uhuni wa kuitwa corona? Tubu na kututaka radhi.
Hivi huyo Mungu anaonekana, anasikika, yupoje, anaishi wapi, au kwa vile ameandikwa kwenye vitabu vya dini?
 
Unaonaje ukakaa tu lockdown mwenyewe ndani ya nyumba yako? Au unataka wizara ije ikulazimishe?
Nashangaa!! Tunalazimishana kwenye makanuni ya corona, mimi huwa nashangaa sana mtu anaponiambia vaa barakoa, na nyoko nyoko nyingine za Uviko...kama mtu una hofu na kifo jipige lockdown mwenyewe, tusipangiane, kila mtu ana maamuzi na maisha yake, hata nikitaka kujiua sasa hivi natafuta sumu ya panya nakunywa nakufa, maisha ni yangu niachwe hivi hivi
 
Tuzidi tu kuchukua tahadhari na kuomba Mungu inakuja MU variant ambayo ni ressistant kwa chanjo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…