COVID-19: Jinsi ya kutumia Simu yenye Password ili kumsaidia Mgonjwa ambaye simu yake ina Password

YEHODAYA hii hapa nimeshaiposti njoo usome na uwashirikishe na wengine. Usije na siasa
Nimeiona hiyo unaongelea matajiri wenye smartphone za Samsung smart phone zingine hazina hizo.options.

Watu wengine ambao ndio kundi kubwa ambao hawana smartphone hizo za Samsung au iPhone na Simu kali zenye android 9 ambao huziweka password watasaidikaje wakati hizo options hazipo?

.Tusaidie mwenye Nokia torch yenye password au simu ya smartphone ambayo haina hizo facility ikiwa na password unafanyaje?
 
Mpwa umeanza kuletà upinzani hadi huku? Ukisoma paragraph ya mwisho nimesema kuwa, mimi najua hicho na nikakaribisha mwingine au wengine waongezee, sijui vyote ila kile ninachojua ndio nimeshea nanyi.

Hata hivyo ni simu nyingi sana I think hata hizo Nokia zina option Fulani. Sio kesi, sio lazima imsaidie kila MTU.
 
Ulichoandika umekua too general as if kila simu ina hizo options

kwenye heading ungeandika kuwa ni solution kwa baadhi ya simu u ka quote ya kwako lakini umeandika as if simu zote zina hiyo facility na kila MTU huweka hizo emergency numbers hata ikiwa na hizo facility
 
Ulichoandika umekua too general as if kila simu ina options kwenye heading ungeandika kuwa no solution kwa baadhi ya simu u ka quote ya kwako lakini umeandika as if simu zote zina hiyo facility
Hahahahha haya tufanye umeshinda! Kwahio interest yako ilikua kwenye Heading sio Content? Unayoyasema nimeyaandika ila kwasababu ya ubishi na kupenda kujikweza basi nakubali kuwa nimeshindwa!
 
Android 9 ya wapi. mimi nna samsung grand prime pro ambayo saiv naitumia kama router. Mtaani ukiwa hata na 120k unapata. Na ina hicho kitu. Na ina adroid 7 tu.
 
Android 9 ya wapi. mimi nna samsung grand prime pro ambayo saiv naitumia kama router. Mtaani ukiwa hata na 120k unapata. Na ina hicho kitu. Na ina adroid 7 tu.
Achana nae huyu, hii ndio nature yake
 
Android 9 ya wapi. mimi nna samsung grand prime pro ambayo saiv naitumia kama router. Mtaani ukiwa hata na 120k unapata. Na ina hicho kitu. Na ina adroid 7 tu.
Nimreleza kuwa Samsung ndio INA hizo features sio simu zote zinazo na sio.kila MTU ana Samsung
 
Nimreleza kuwa Samsung ndio INA hizo features sio simu zote zinazo na sio.kila MTU ana Samsung
Duh sio kweli acha uongo, kama hujui kubali kuwa hujui kisha kubali kujifunza, si dhambi! Mbona nimesema kuwa hata mimi sijui kila kitu kwahio kama kuna MTU mwenye taarifa zaidi alete tujifunze kwa pamoja.

Samsung pia inazo hizo features ila hii ninayotumia ni mchina tena wa bei ndogo kabisa inaitwa Infinix S4 dukani haifiki hata laki nne kwa sasa. Tukubali kujifunza si aibu
 
Kwa kuwasaidia wale ambao wanamiliki simu zisizokuwa na hizo "features"

Mnaweza Ku download "emergency information" ni application ambayo itaweka emergency information zako muda wote kwenye lock screen.

MTU hatohitaji kutoa lock ili kupata hizo taarifa ataziona juu tu hapo ya lock screen

Note: kwa watu wa android sijui kwa "os " kama app ya hivo IPO butvi believe zitakuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani sana sana
 
Reactions: Tlg
Wanaotumia simu zisizo rasmi kama Tecno,itel &infinix utakuja kuleta malalamiko yao hapa


Sent using IPhone X
 
Natumia Mi Note 5 kwenye locked screen sizioni hizi options ngoja niingie kwenye system labda kuna kitu kinatakiwa nikiruhusu ili ikubali.

All in all nakushukuru sana mkuu kwa msaada huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


barikirikiwa sana kaka mkubwa, haya ndiyo mambo ambayo yanatakiwa kufanyika kipindi asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…