Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hizi ndizo taarifa ambazo zinasikika kwenye mikutano yao kama ambavyo wahenga walisema hakuna siri ya watu wawili. Na hawa imekuwa ni ya watu 19. Wanaambiana mengi na wengine wanakuja kutuambia. Hasa sisi wenye mahusiano nao.
Sitaelezea kwa kina maana mnaweza unganisha code mkaja jua mimi ni nani na nina mdate nani kati yao. Ila my galfriend kanihakikishia kuwa kwa asilimia 95 wanahamia CCM na ACT maana wameshanyanyaswa sana na CDM utadhani hawajui nani aliwafanya wawe wabunge.
Wengi wamejikuta wanafurahia chama cha mapinduzi zaidi wanasema kule kuna amani wanakula pesa zao bila kuwa na wasiwasi wa kupigwa na polisi, kudhalilishwa au kunyanyasika. Kwa sasa umri umeenda wanataka wale mafao yao vizuri.