Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio umegundua hilo leo??Nina wasiwasi na takwimu za wagonjwa wa corona zinazotolewa nchini Tanzania.
Madereva wa Tanzania wanaoendesha malori wakifika mpakani hupimwa na baadhi yao hukutwa na Corona, je, Tanzania tumejipanga kweli kukabiliana na janga hili?View attachment 1432266
View attachment 1432274
Hiyo siyo error. Yawezekana hata wewe hujawahi kufanya experiment yeyote.Ulishawahi kufanya Experiment yoyote Maabara na kuandika ripoti katika maisha yako? Hivyo ni vitu vya kawaida sana, of course namba wanayotoa Serikali haiwezi kuwa 100% sahihi kuna margin of error siku zote, na hii ni Dunia nzima, au unafikiri hizo namba wanazotoa Muzungu kuhusu waliokufa au kupata virusi vya corona huko kwao ni 100% sahihi?
Bora hata huyo jama wa thethethe.jMpuliza famigeshen Jiji nae katulia haya bwana yetu duwa
Hiyo siyo error. Yawezekana hata wewe hujawahi kufanya experiment yeyote.
Error huwa ni percentage ndogo kutoka kwenye actual. Huwezi kusema nina maambukizi mapya 0 nchini mwangu halafu sample ndogo ya wananchi wako wanaenda nchi jirani, kila siku wanapatikana kuwa na maambukizi, eti ukasema hiyo ni error!!
Sent using Jamii Forums mobile app