#COVID19 Covid-19: Museveni asks East Africa Health Ministers to consider testing of Truck Drivers before entry

Vipima COVID-19 vingekuwepo kila mkoa na mipakani kote uwezekano wa mwenye ugonjwa kuvuka mipaka iliyo rasmi (barabara, nk) ungepungua sana.
 
Hiyo siyo error. Yawezekana hata wewe hujawahi kufanya experiment yeyote.

Error huwa ni percentage ndogo kutoka kwenye actual. Huwezi kusema nina maambukizi mapya 0 nchini mwangu halafu sample ndogo ya wananchi wako wanaenda nchi jirani, kila siku wanapatikana kuwa na maambukizi, eti ukasema hiyo ni error!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kwa nini isiwezekane? Hakuna cha ajabu hapo, hilo hutokea Dunia nzima hata USA namba wanayotangaza na uhalisia ni vitu viwili tofauti, siku zote kuna dark figure, isitoshe unawezaje kusema kwamba margin of error TZ ni kubwa sana? Umethibitisha vipi? Una uhakika gani kama kila anayetangazwa JF kuwa na corona virus ni kweli yuko positive? Una uhakika gani kila anayetangazwa kufa na corona ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…