Covid-19 pandemic will likely kill at least 300,000 Africans - U.N. agency

Covid-19 pandemic will likely kill at least 300,000 Africans - U.N. agency

naona wanatupia hesabu bara la Africa in general, vipi bara la Ulaya na N. America wameshakufa wangapi mpaka sasa na mpaka ikifika mwezi June watakuwa wamekufa wangapi?
 
Sherrif,
Please remember that they are launching 5G in space,so their demonic prophesy might come to fruition,but I believe God will protect Africans.



 
Inasikitisha. Naona watu mnatoa comments bila kusoma bandiko wala kuelewa mnayemjibu. Mpelekeeni mawazo yenu Bi Vera Songwe aliyetoa taarifa hiyo kwa kushirikiana na mawaziri wa fedha na uchumi wa Afrika mumuulize endapo anawasilisha matazamio ya hao “wazungu” mnaowaota kila wakati. Huu ni wakati wa kutumia akili badala ya kufanya waafrika tuonekane mazuzu kwa asili. Someni.
Yani kwa comments za wadau hapa, ni kama mtu katukuta tumekaa relini, anatuambia hapo mlipo kuna treni linakuja litawafyekelea mbali.

Sisi tunamtukana kwamba anatuchulia, tunasema Mungu atatulinda, tunatoa conspiracy theories kibao.

SMH!

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mpaka juzi Africa vifo Ni 1000,,hiyo 300,000 kufika labda December na Hapo iwapo maambukizi yatashika kasi,sio kwa hii speed iliyopo sasa
 
Wanaosema tutakufa ni waafrika na siyo wazungu. Mkajisomee UN inavyofanya kazi. Kila linalosemwa na UN au ombi lolote linaloombwa ni lazima litoke kwa mwombaji.

Siyo rahisi Mzungu anayekuchukia akutabirie kuwa utakufa kisha akuombee msaada wa 100 Billion dollars. Mkajifunze kabla ya kuja na propaganda.
 
Mimi nashangaa sana Mods.Hivi unabii huu wa kipumbavu kabisa,without any data at all,unaotabiri kuwa Wafrika watakufa unaachwa uendelee kukaa kweli bila kuwa deleted.Kweli.These are double standards.Hivi hii si fear mongering na obvious hate rhetoric to Africans.Au kwa sababu it saves the interests of the Deep State or New World Order.Mods,huu Uzi unaleta hofu kwa watu na unapaswa kuwa deleted please.
 
Back
Top Bottom