Yani kwa comments za wadau hapa, ni kama mtu katukuta tumekaa relini, anatuambia hapo mlipo kuna treni linakuja litawafyekelea mbali.Inasikitisha. Naona watu mnatoa comments bila kusoma bandiko wala kuelewa mnayemjibu. Mpelekeeni mawazo yenu Bi Vera Songwe aliyetoa taarifa hiyo kwa kushirikiana na mawaziri wa fedha na uchumi wa Afrika mumuulize endapo anawasilisha matazamio ya hao “wazungu” mnaowaota kila wakati. Huu ni wakati wa kutumia akili badala ya kufanya waafrika tuonekane mazuzu kwa asili. Someni.
Ukisikiliza maneno mengine ya Gates yanachefua kweli kweli.Ni kweli some of these people wameji-equate themselves to God.