Covid 19: Rais Kenyatta apiga marufuku mikusanyiko ya kisiasa kwa siku 30. Curfew yaongezwa kwa siku 60

Chato tena

Member
Joined
Jan 17, 2021
Posts
24
Reaction score
50
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza taratibu mpya za kudhibiti janga la COVID-19 nchini humo ikiwa ni pamoja na:
  • Mikusanyiko ya kisiasa imepigwa marufuku kwa siku 30.
  • Marufuku ya kuwa nje usiku imerefushwa kwa siku 60 zaidi
  • Mabaa na kumbi za burudani kufungwa kuanzia saa tatu usiku.
  • Mazishi kufanywa chini ya muda wa saa 72, punde kifo kikitokea
  • Watu wasiozidi 100 pekee ndio wataruhusiwa kuhudhuriwa mazishi na sherehe za harusi.
  • Wizara ya Afya kwa ushirikiano na ya usafiri/uchukuzi kutathmini upya kanuni za usafiri

Rais Kenyatta amesema kama taifa waliamua kunusuru uhai wa raia badala ya uchumi kwa sababu unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliyekufa. Ndiyo sababu walichukua hatua hizo tangu mwanzo kupambana na COVID-19

-

Kenyatta.jpeg
President Uhuru Kenyatta has announced a ban on political gatherings for the next 30 days.

In a raft of measures seeking to curb the spread of coronavirus, the Head of State also extended the dusk-to-dawn curfew for a further 60 days.

“The escalation or de-escalation of the containment measures in regard to prohibition of political gatherings is dependent on whether the national endeavor to break the chain of transmissions will have been achieved,” he said on Friday.

Speaking at State House, Nairobi, President Kenyatta announced the first Public Order of 2021.

He explained that because the country is grappling with the third wave of coronavirus, it was necessary to escalate preventive measures.

The President acknowledged that political gatherings have exposing Kenyans to risk of contracting the virus since social distancing was not adhered to.

“To secure the implementation of the order on political gatherings, public ceremonies, I, hereby further direct the National Government Administration Officers (NGAO) jointly with the National Police Service and county government enforcement officers to strictly enforce this Public Order regardless of the social and political status of the conveners of the political gatherings,” he said.

As a result of the curfew extension, restaurants, bars and other establishments which are open to the public will be still expected to close businesses by 9pm.

President Kenyatta on Friday directed the relevant agencies to enforce compliance to the dusk to dawn curfew.

Establishments that provide essential services that have employees working on double shift have however been exempted from the curfew.

“To provide business continuity during the containment period, exemption on the application of curfew is hereby granted to essential services providers, factories and construction sites to operate night shifts,” the President added.

He opined that even though Kenya has lost at least Ksh. 560billion in Gross Domestic Product (GDP) since the onset of the COVID-19 pandemic, the country is on track to grow its economy by 7 percent in 2021.

“Projections indicate that, in spite of the COVID-19 plunge, our economy is likely to bounce back and grow 7% in 2021. If we had not made the bold decisions of 2020, as is projected, our economy would, in 2021 contract by 15%. This would be worse than the Euro Area, -7.2%; India, -11.5%; and the United Kingdom, -10%,” he added.

Source: President Kenyatta bans political gatherings, extends curfew - Citizentv.co.ke
 
Kenya ni utopolo tu wakina Ruto,Odinga wanazunguka kila siku na upuuzi wa BBI hakuna cha barakoa wala nini na hapohapo unaambiwa sijuu kuna curfew blahblah kibao.

Upumbavu mtupu
 
KAFYU inaongeza umasikini ,wale malimao ,wafanye mazoezi kwa sana.
 
Kenya ni taifa la ajabu sanaa, na wana danganya wazungu wanao wapa covax, ukitazama tv stations za kenya ndio utagundua uongo wa wakenya ktk hili la curfew and other staff, binafsi nimekuwa nafuatilia sana k24, ktn newz yaan hiyo milundikano ya watu down town hakuna chq barakoa wala social distancing yaan ni UONGO. wa grade A,, at the se time VP na prez, wana siasa wengine wana fanya rally watu wameshonana balaa
 
Hapa sijaelewa kitu kwenye kufufua uchumi na kufufua watu, Kenya inamaana uchumi pekee ndio umekufa ila watu hawafi?... Jinga kabisa.
 
Dah, kweli Kenya nchi ya Mazuzu, yaani mchana wanachanganyanaaa halafu usiku ndio Marufuku, yaani Covid inasambaa usiku kama Popo vile [emoji3][emoji3]
 
Juzi niliona wameomba tena mkopo WBwa dola bilion 5 ili kugaharamia chanjo.
 
Saa nne usiku hadi saa 10 asubuhi mida hiyo watu wameshalala wewe ndio unasema marufuku watu kutoka nje?
 
Kenya ni utopolo tu wakina Ruto,Odinga wanazunguka kila siku na upuuzi wa BBI hakuna cha barakoa wala nini na hapohapo unaambiwa sijuu kuna curfew blahblah kibao.

Upumbavu mtupu

Siku zote usibishie sayansi, huyo Odinga kama hakua anavaa barakoa, tafuta taarifa za yuko wapi sasa hivi.....acheni ujinga na mzingatie tahadhari za kisayansi.
 
Saa nne usiku hadi saa 10 asubuhi mida hiyo watu wameshalala wewe ndio unasema marufuku watu kutoka nje?

Mchana huwa rahisi kwa polisi kufuatilia nani hajavaa barakoa, anakuona hata kwa mbali huko na kukujia, ila usiku unajimwayamwaya bila libarakoa kwa raha zako haujali kitu.

Niwe mkweli, sio asili yetu Waafrika kwenye kuchukua tahadhari, mimi binafsi nachukia sana barakoa, inanifanya nijihisi kama zuzu hivi, ila ndio sayansi hiyo na siibishii, isingekua kwa mapolisi sidhani kama ningevaa barakoa, ila tu basi inabidi maana kwa uzembe wetu Waafrika lazima tulazimishwe hata kwenye kuchukua tahadhari.

Barakoa inasaidia kwa asilimia fulani, kwanza kwa namna Watanzania husongamana, mna bahati sana corona haijawa na hasira dhidi ya Waafrika, mngepukutika kama kondoo na mbuzi.... huwa mnasongamana kwenye midaladala na kupumuliana humo balaa.

DALAED.jpg
 
Kamanda hii corona ya Kenya inaenea usiku tu?
Updates si ndiyo hiyo aliyoitoa? kwamba ''unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliye kufa'' hilo ni dongo sisi tulikuwa tunapambana kuunyanyua uchumi sasa mambo ni moto.
 
Back
Top Bottom