Covid 19: Rais Kenyatta apiga marufuku mikusanyiko ya kisiasa kwa siku 30. Curfew yaongezwa kwa siku 60

Updates si ndiyo hiyo aliyoitoa? kwamba ''unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliye kufa'' hilo ni dongo sisi tulikuwa tunapambana kuunyanyua uchumi sasa mambo ni moto.
Dongo kubwa sana hilo. Na sasa nakuhakikishia atakuwa anagonga mvinyo. Hajawahi kuwa rafiki kwetu. Na hawapendani. Iko wazi
 
Mchana huwa rahisi kwa polisi kufuatilia nani hajavaa barakoa, anakuona hata kwa mbali huko na kukujia, ila usiku unajimwayamwaya bila libarakoa kwa raha zako haujali kitu.

Niwe mkweli, sio asili yetu Waafrika kwenye kuchukua tahadhari, mimi binafsi nachukia sana barakoa, inanifanya nijihisi kama zuzu hivi, ila ndio sayansi hiyo na siibishii, isingekua kwa mapolisi sidhani kama ningevaa barakoa, ila tu basi inabidi maana kwa uzembe wetu Waafrika lazima tulazimishwe hata kwenye kuchukua tahadhari.

Barakoa inasaidia kwa asilimia fulani, kwanza kwa namna Watanzania husongamana, mna bahati sana corona haijawa na hasira dhidi ya Waafrika, mngepukutika kama kondoo na mbuzi.... huwa mnasongamana kwenye midaladala na kupumuliana humo balaa.

DALAED.jpg
Naona hapa polisi wa Kenya wakifuatilia wakenya wasiovaa barakoa kirahisi zaidi Mchana kuliko usiku wa manane.
View attachment 1724210
unnamed.jpg
ruto%20kisii%20county-1.jpg
 
Ila niwatakie kila la Heri, nina Marafiki hapo Kenya na Workmates,
Naskia wimbi la tatu limekuja kivingine. Msione aibu kujifukiza, kutumia tangawizi na Malimau kama sehemu ya Milo yenu..
 
Naona hapa polisi wa Kenya wakifuatilia wakenya wasiovaa barakoa kirahisi zaidi Mchana kuliko usiku wa manane.
View attachment 1724210View attachment 1724209View attachment 1724211

Tliza mihemko usome upya nilichoandika, nimekiri sote tuna uzembe wa kuvaa barakoa na tunazivaa tu kisa polisi wanatuvizia, kwa kifupi polisi wanatusaidia kuchukua tahadhari maana wenyewe tungeachiwa tungekua mapoyoyo kama nyie huko.
Halafu huyu Ruto anakera kishenzi zaidi ya balaa.... heshima iliyokua imesalia naona nikiishusha maana amekua kama huyo kiongozi wenu, kuwarubuni raia kihivi kwa kweli ni hovyoo, huyu akiwa rais tutegmee vituko kama vya kenu.
 
Ila niwatakie kila la Heri, nina Marafiki hapo Kenya na Workmates,
Naskia wimbi la tatu limekuja kivingine. Msione aibu kujifukiza, kutumia tangawizi na Malimau kama sehemu ya Milo yenu..

Hayo mauchawi ya kujifukiza ndio yamewafikisha hapa mlipo hamjui kichwa kiko wapi au hata mkia, mnakaa mkitegemea "like" ya tweeter kama chanzo cha habari, imekua mwendo wa tanzia kwa wakuu wa nchi na hata waandamizi jeshini, na hao ni wanaofahamika kitaifa, walalahoi wasiojulikana hata kwenye level ya kaya yaani hatima yao jameni....

Kama nilivyosema, tumshukuru Mungu kwamba hii corona haikuja ikiwa na hasira dhidi ya Waafrika, inatupukutisha kwa kuchuja, la sivyo hili bara ingebidi tukoloniwe upya kwa wengi mnavyodhihirisha uzombi ulivyokolea kwenye bongo zenu.
 
Tliza mihemko usome upya nilichoandika, nimekiri sote tuna uzembe wa kuvaa barakoa na tunazivaa tu kisa polisi wanatuvizia, kwa kifupi polisi wanatusaidia kuchukua tahadhari maana wenyewe tungeachiwa tungekua mapoyoyo kama nyie huko.
Halafu huyu Ruto anakera kishenzi zaidi ya balaa.... heshima iliyokua imesalia naona nikiishusha maana amekua kama huyo kiongozi wenu, kuwarubuni raia kihivi kwa kweli ni hovyoo, huyu akiwa rais tutegmee vituko kama vya kenu.
Ruto is Kenya's Next president. Usimkebehi Rais wako ajae. This is non negotiable or Kalenjins will terribly avange.
 
Mchana huwa rahisi kwa polisi kufuatilia nani hajavaa barakoa, anakuona hata kwa mbali huko na kukujia, ila usiku unajimwayamwaya bila libarakoa kwa raha zako haujali kitu.

Niwe mkweli, sio asili yetu Waafrika kwenye kuchukua tahadhari, mimi binafsi nachukia sana barakoa, inanifanya nijihisi kama zuzu hivi, ila ndio sayansi hiyo na siibishii, isingekua kwa mapolisi sidhani kama ningevaa barakoa, ila tu basi inabidi maana kwa uzembe wetu Waafrika lazima tulazimishwe hata kwenye kuchukua tahadhari.

Barakoa inasaidia kwa asilimia fulani, kwanza kwa namna Watanzania husongamana, mna bahati sana corona haijawa na hasira dhidi ya Waafrika, mngepukutika kama kondoo na mbuzi.... huwa mnasongamana kwenye midaladala na kupumuliana humo balaa.

DALAED.jpg
Aisee... Wewe kweli jinga! Hivi hapo Kenya kila mtu anavaa barakoa?
 
Tliza mihemko usome upya nilichoandika, nimekiri sote tuna uzembe wa kuvaa barakoa na tunazivaa tu kisa polisi wanatuvizia, kwa kifupi polisi wanatusaidia kuchukua tahadhari maana wenyewe tungeachiwa tungekua mapoyoyo kama nyie huko.
Halafu huyu Ruto anakera kishenzi zaidi ya balaa.... heshima iliyokua imesalia naona nikiishusha maana amekua kama huyo kiongozi wenu, kuwarubuni raia kihivi kwa kweli ni hovyoo, huyu akiwa rais tutegmee vituko kama vya kenu.
Kenyata kapiga marufuku siasa si sababu ya corona balo uoga ni kama vile ilivyokuwa kwa museven juzi
 
Back
Top Bottom