Covid 19: Rais Kenyatta apiga marufuku mikusanyiko ya kisiasa kwa siku 30. Curfew yaongezwa kwa siku 60

Updates si ndiyo hiyo aliyoitoa? kwamba ''unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliye kufa'' hilo ni dongo sisi tulikuwa tunapambana kuunyanyua uchumi sasa mambo ni moto.
Dongo kubwa sana hilo. Na sasa nakuhakikishia atakuwa anagonga mvinyo. Hajawahi kuwa rafiki kwetu. Na hawapendani. Iko wazi
 
Naona hapa polisi wa Kenya wakifuatilia wakenya wasiovaa barakoa kirahisi zaidi Mchana kuliko usiku wa manane.
View attachment 1724210
 
Ila niwatakie kila la Heri, nina Marafiki hapo Kenya na Workmates,
Naskia wimbi la tatu limekuja kivingine. Msione aibu kujifukiza, kutumia tangawizi na Malimau kama sehemu ya Milo yenu..
 
Naona hapa polisi wa Kenya wakifuatilia wakenya wasiovaa barakoa kirahisi zaidi Mchana kuliko usiku wa manane.
View attachment 1724210View attachment 1724209View attachment 1724211

Tliza mihemko usome upya nilichoandika, nimekiri sote tuna uzembe wa kuvaa barakoa na tunazivaa tu kisa polisi wanatuvizia, kwa kifupi polisi wanatusaidia kuchukua tahadhari maana wenyewe tungeachiwa tungekua mapoyoyo kama nyie huko.
Halafu huyu Ruto anakera kishenzi zaidi ya balaa.... heshima iliyokua imesalia naona nikiishusha maana amekua kama huyo kiongozi wenu, kuwarubuni raia kihivi kwa kweli ni hovyoo, huyu akiwa rais tutegmee vituko kama vya kenu.
 
Ila niwatakie kila la Heri, nina Marafiki hapo Kenya na Workmates,
Naskia wimbi la tatu limekuja kivingine. Msione aibu kujifukiza, kutumia tangawizi na Malimau kama sehemu ya Milo yenu..

Hayo mauchawi ya kujifukiza ndio yamewafikisha hapa mlipo hamjui kichwa kiko wapi au hata mkia, mnakaa mkitegemea "like" ya tweeter kama chanzo cha habari, imekua mwendo wa tanzia kwa wakuu wa nchi na hata waandamizi jeshini, na hao ni wanaofahamika kitaifa, walalahoi wasiojulikana hata kwenye level ya kaya yaani hatima yao jameni....

Kama nilivyosema, tumshukuru Mungu kwamba hii corona haikuja ikiwa na hasira dhidi ya Waafrika, inatupukutisha kwa kuchuja, la sivyo hili bara ingebidi tukoloniwe upya kwa wengi mnavyodhihirisha uzombi ulivyokolea kwenye bongo zenu.
 
Ruto is Kenya's Next president. Usimkebehi Rais wako ajae. This is non negotiable or Kalenjins will terribly avange.
 
Aisee... Wewe kweli jinga! Hivi hapo Kenya kila mtu anavaa barakoa?
 
Kenyata kapiga marufuku siasa si sababu ya corona balo uoga ni kama vile ilivyokuwa kwa museven juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…