COVID-19: Tanzania yakataa chanjo ya kigeni, yalenga tiba ya kiasili

COVID-19: Tanzania yakataa chanjo ya kigeni, yalenga tiba ya kiasili

Mchina anatuletea chanjo hatubabaiki - kwa sasa mchini ndio Beberu wetu mpya!!
 
Ni bora wangepokea na kuhifadhi tu bila kuwapa raia kuliko kujimwambafai.

Ni ushauri wangu
 
Sio lazima tuagize hayo matakataka yao yanayobadilisha hormone za miili ya watu, kimsingi hayo majaribio wafanyie huko huko kwao hatuna corona hatutaki midawa yao nyungu imemaliza kazi , kama wao na bill gate walitegemea kuiuzia dunia hiyo midawa kwa hapa kwetu hamna nafasi
 
Kama Tz wanasema hakuna corona mambo hata hawastahili kuyazungumzia. Tanzania ni mbuga ya wanyama, ugonjwa ukiingia hata hawajui hadi waone mizoga inazagaa!!
Shame on you Tz!!
Mpka leo umeshakutana na mizoga mingapi iliyozagaa huko mtaani kwako kwa ajili ya corona? Usikubali kukaririshwa maisha fungua ubongo wako.
 
ile ndege ilienda Madagascar kufanya nini?
Hatukwenda kuzinunua zile dawa za huko madagascar tulipewa tu hivyo hakuna mbaya,na kipindi kile ilikuwa tunaanza anza kuondokana na hofu ya corona na sasa watanzania hawana tena hofu ya corona wamekubali hakuna corona sasa hizo chanjo za nini tena?
 
Kwa mara nyingine tunakwenda kuishangaza dunia, corona ilivyoisha bongo haieleweki.
Mataifa kadhaa wakaanza wasiwasi ikiwemo kuambia raia wake kuwa, hiyo nchi ya Tanzania ni ya kuiangalia mara mbilimbili kama kuna ulazima wa kwenda.
 
Sio lazima tuagize hayo matakataka yao yanayobadilisha hormone za miili ya watu, kimsingi hayo majaribio wafanyie huko huko kwao hatuna corona hatutaki midawa yao nyungu imemaliza kazi , kama wao na bill gate walitegemea kuiuzia dunia hiyo midawa kwa hapa kwetu hamna nafasi
Upo sahihi.
 
Kama Tz wanasema hakuna corona mambo hata hawastahili kuyazungumzia. Tanzania ni mbuga ya wanyama, ugonjwa ukiingia hata hawajui hadi waone mizoga inazagaa!!
Shame on you Tz!!
Nenda wanapopigwa chanjo hujakatazwa..
 

Attachments

  • 066ABF4F-165D-4207-8656-6AE72D9AFA9F.jpeg
    066ABF4F-165D-4207-8656-6AE72D9AFA9F.jpeg
    97 KB · Views: 10
Inaumiza sana hii kauli.

'Africa itapata chanjo mwishoni mwa 2022 baada ya mataifa tajiri kuwapatia kwanza raia wao'.

Worse thing is, sisi ndio tunawafanya wawe matajiri! Viongozi wetu wa Afrika hawana soni kabisa.
 
Tatizo mshua pesa hana. Anataka watoto tutumie miti shamba huku yeye atajiagizia chanjo yake na familia yake.
 
Naunga mkono serikali ni wakati wa kuionyesha dunia kuwa wanasayansi watanzania wanaweza chini ya mwanasayansi Magufuli aliyegundua kuwa hata mapapai yaweza onekana kuwa na corona kwa vipimo vya wazungu wakati hayaumwi Corona
Hawa wanasayansi unaosema wanaweza usayansi wao wanasoma kwenye vitabu walivyotunga mabeberu
 
Back
Top Bottom