#COVID19 COVID-19 Test - Mbuga za Kusini zimetelekezwa

#COVID19 COVID-19 Test - Mbuga za Kusini zimetelekezwa

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Hadi ninavyo andika hapa hakuna hata mbuga moja ya kusini Inayofanya Covid sample collection
Halafu unasikia Mtu anasema eti tuna promote mbuga za kusini watalii waende huko
Mbuga hizo ni;
1. RUAHA NATIONAL PARK (pamoja na kuwa na dispensary ndani ya Park wameshindwa kuiwezesha ichukue sample?)
2. MWALIMU NYERERE NP
3. KATAVI NATIONAL PARK
4. MAHALE NATIONAL PARK (kwa kuanzia wanaweza ku organise hata boat ya Tanapa ipeleke sample Kigoma eg: every Tuesday & Friday?)

Imagine hata Ngorongoro inayo Ingizia Mabilioni wameshindwa kuweka tenti moja pale HQ likachukua sample; Eti ni hadi mgeni atoke ndani ya park full day (own cost) kwenda karatu kwa private center kutest; TARANGIRE NP the same hakuna centre hata moja wala near by centre labla karatu; ni kama vile hatupo serious kwenye biashara ya Utalii

Ukumbuke: Private Sector ipo taabani kwa sasa sababu ya Corona hivyo wasitegemee kuwa itaweka hizo centre kama ilivyo weka Serengeti; sana sana itaweza kusaidia accommodation ya Doctors & transport ya Sample if required.
 
Back
Top Bottom