COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

Kwa siku 14 jengo la Life House halitakuwa na huduma ya lift kuanzia kesho, Kuna mfanyakazi ghorofa ya tatu kafa na vijirusi. Pia watapuliza dawa jengo zima.

Kuna jamaa mwingine alikuwa na bar maarufu, nae kaenda kimya kimya, naona Sasa hiii ni ngoma ya kimya kimya
Hiyo ya kila mtu akiona mtu kafa anamdhania ni corona siyo vizuri! Tumeambiwa ni nani msemaji ambaye ameruhusiwa kuwahabarisha watanzania, kuhusu corona. Siyo kila mmoja. Watu wakiruhusu hivi vicoment vya ovyo kuhusu huu ugonjwa, tutakuwa hatuisaidii serikali na hivyo hivyo hatujisaidii.

Tuache comment za utani, kuonyesha kwamba maambukizi ni mengi au machache, doesn't matter - you are supposed to take the necessary precautions not to be infected or not to infect any one.

Tufuate ushauri ugonjwa siyo siasa.
 
Corona kwa afrika itaacha athari kubwa sana kiasi ambacho haijawai tokea.
Sahivi sio mda wa kunyosheana vidole.

Nakusingekuwa na namna ya kuukwepa ugonjwa huu cz janga hili halina mwendano sawa na uchumi wa Nchi, huduma za kiafya wala maandalizi.

Tujikinge watanzania tukinge famila zetu! Suala la vifo vya corona halichagui chama, dini, kabila wala jinsia na umri
 
mungu tunusuru kabla hatujafa taratibu
Hadi leo bado tunatoleana mifano ya Italy na Spain kuonesha uhatai wa corona,sasa hapo unataka Mungu atunusuru mara ngapi? tokea corona ianze afrika muda tungekuwa tunashindana kwa idadi ya vifo na Ulaya huko kama ambavyo wengi tulitegemea hivyo.
 
Mkuu ni mapema mno,subiria
 
Hiyo ya kila mtu akiona mtu kafa anamdhania ni corona siyo vizuri! Tumeambiwa ni nani msemaji ambaye ameruhusiwa kuwahabarisha watanzania, kuhusu corona. Siyo kila mmoja. Watu wakiruhusu hivi vicoment vya ovyo kuhusu huu ugonjwa, tutakuwa hatuisaidii serikali na hivyo hivyo hatujisaidii.
Tuache comment za utani, kuonyesha kwamba maambukizi ni mengi au machache, doesn't matter - you are supposed to take the necessary precautions not to be infected or not to infect any one.
Tufuate ushauri ugonjwa siyo siasa.
Nenda kesho Life House, kaonane na uongozi, waulize kwanini wanazima lift kwa siku 14
 
Wenye Mamlaka waliambiwa mapeema kabisa, wafunge mipaka na usafiri wa anga tuanzie hapo, wakakataa eti uchumi wa utalii utadorora. Hii nchi nadhani Malaika walishaitenga hata shetani keshagajitenga nayo kwa usenge unaoendelea humu
 
Hiyo ya kila mtu akiona mtu kafa anamdhania ni corona siyo vizuri! Tumeambiwa ni nani msemaji ambaye ameruhusiwa kuwahabarisha watanzania, kuhusu corona. Siyo kila mmoja. Watu wakiruhusu hivi vicoment vya ovyo kuhusu huu ugonjwa, tutakuwa hatuisaidii serikali na hivyo hivyo hatujisaidii.
Tuache comment za utani, kuonyesha kwamba maambukizi ni mengi au machache, doesn't matter - you are supposed to take the necessary precautions not to be infected or not to infect any one.
Tufuate ushauri ugonjwa siyo siasa.
Mkuu wataalam wa afya wanapotuelimisha kuhusu corona,wanatuelimisha na dalili za ugonjwa wenyewe sasa wewe Kama polepole kafungia akili zako pale lumumba kiasi kwamba huwezi ona wala kuzitambui hizo dalili kwa mgonjwa aliyeko karibu nawe hadi Ummy aje akutangazie ni wewe,sisi wengine akili zetu tunazo so usitake tuwe Kama wewe
 
Back
Top Bottom