Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachungaji wanasema nia yao ni kutuua, ukiwauliza zile chanjo kibao walizochanja utotoni mbona hawajafa? Hawana majibu.Ndo naanza kuelewa kwa nini wale jamaa walitaka chanjo ianzie kwetu africa. Soon wote mtawaelewa walimaanisha nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, I can feel that hapo ni kuhakikisha wanachukua tahadhari za mwanzo kabisa kuvaa protective gears mfano facial mask, gloves etc kuwa na hand sanitizer hii ina work vizuri akiwa ana ofisi zao...Gallius,
Yaani im worrying for them kuliko hata ninavyojiworia mimi. Yaani acha tu. Hapa kila siku nawapigia simu nawasisitiza wabaki majumbani.
Ila tatizo unaweza ukabaki nyumbani ukaletelewa na hawa wanaokwenda mijini kutafuta mkate wa kila siku. It is complicated [emoji26].
It's too late!Dar inatakiwa ipigwe lock. Hakuna kutoka wala kuingia. Wauguzane wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekremishwa na ukameza bila kutafakari,mathalani upo sokoni au kwenye daladala,je akitokea mtu anakohoa au anaongea na hajavaa mask na droplets zikatua ktk uso wako na pengine ana virus nini kitatokea?Mask unavaa ikiwa unakohoa na dalili zingine,ikiwa wewe huna tatizo mask si muhimu kwako, eleqwni hivyo
Yani hadi leo bado tu afrika ni suala la mapema?Mkuu ni mapema mno,subiria
Basi tuvae helmet kabisa. Point ya hizi mask ni hajulikani nani anao nani hana, hivyo lengo kuu ni muathirika asimuambukize mwingine. Droplets zinatokea mdomoni sio machoni. Ila unaweza vaa ukijisikia ila sio inakukinga wewe bali wewe ndio unawakinga wengine.Wewe umekremishwa na ukameza bila kutafakari,mathalani upo sokoni au kwenye daladala,je akitokea mtu anakohoa au anaongea na hajavaa mask na droplets zikatua ktk uso wako na pengine ana virus nini kitatokea?
Na vilevile mask inakusaidia ku shape tabia zetu za kushika pua,mdomo kwa kujisahsu.
Jiulize wahudumu wa afya wanaovaa hizo mask wao wanaumwa?