Hahah social media ni sehem tu ya kupata habari.Great Thinkers,
Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.
Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.
Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
Hawana habari maana yake hawachukia tahadhari ikiwemo kuvaa barakoa,kunawa mikono na social distance?Kweli kama ndivyo wanahitaji elimu upesi mno ikiwezekana hata nguvu itumike!Hili sio jambo la wewe kufurahia watu kutokuwa na habari na Corona!Mbagala watu wanajilia miguu ya kuku hawana habari na corona
Visa vya serikali ni 480 kwa 16
Kwani kuna COVID19 Tanzania?Great Thinkers,
Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.
Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.
Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
We jitoe tu ila Covid19 ipo pale pale. Na bahati mbaya au nzuri haichagui mtu, haina adabu na inapiga mahali popote.Great Thinkers,
Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.
Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.
Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
Visa vya serikali ni 480 kwa 16
Visa vya mtandani ni 6509 kwa 400
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu juzi nasema siimgii tena mitandaoni nashangaa nashindwa kutimiza.Great Thinkers,
Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.
Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.
Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
hakuna corona tz, acha uzushi.Great Thinkers,
Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.
Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.
Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
Kamanda naona umemuelewa Ummy mwalimuTunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi