COVID19 ya kwenye Social Media inatisha zaidi

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Great Thinkers,

Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.

Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.

Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
 
Mbagala watu wanajilia miguu ya kuku hawana habari na corona
 
Nenda kajichanganye kitaa,ila andika na mirathi kabisa maana huwezi jua!Unaweza usirudi hapa baada ya hizo siku 21!

NB:Najua unaanza kutumia ile ID nyingine!😀😀
 
Great Thinkers,

Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.

Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.

Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
Hahah social media ni sehem tu ya kupata habari.
Kama ww ni roho nyepesi unaweza jitoa.
Lakin kujitoa huko akumaanishi kuwa covid-19 imepotea hapana.. iko pale pale. Na tahadhari uchukue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbagala watu wanajilia miguu ya kuku hawana habari na corona
Hawana habari maana yake hawachukia tahadhari ikiwemo kuvaa barakoa,kunawa mikono na social distance?Kweli kama ndivyo wanahitaji elimu upesi mno ikiwezekana hata nguvu itumike!Hili sio jambo la wewe kufurahia watu kutokuwa na habari na Corona!
 
makaburini ununio pia hawana habari jumlisha na amana na mloganzila
 
visa vya serikari ni 480 vifo 16
Visa vya mitandaoni 1000+ vifo 100+

tapatalk_1546514141621.jpg
 
Great Thinkers,

Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.

Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.

Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
Kwani kuna COVID19 Tanzania?
 
We jitoe tu ila Covid19 ipo pale pale. Na bahati mbaya au nzuri haichagui mtu, haina adabu na inapiga mahali popote.
 
Great Thinkers,

Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.

Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.

Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
Tangu juzi nasema siimgii tena mitandaoni nashangaa nashindwa kutimiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Great Thinkers,

Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.

Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21.

Kwa herini GTs, tutaonana tarehe 22 May 2020.
hakuna corona tz, acha uzushi.
 
Back
Top Bottom