Cowbama

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Wana Jamii Forums hope ni wazima wa afya, njooni tujadili kidogo.

Hivi ni kweli kwenye uzima wake Albert Magwair hakukuwa na rapa mkali kuliko yeye? Ni kweli pengo lake Ngwair hadi leo halijazibika? Nani unamuona Ngwair mwingine?

Kama hakuna wakuziba pengo la Ngwair ikiwa wana Hip Hop wapo kibao, kwanini pengo halizibwi?


#forgive me
 
Rapper ni nini Kwa Definition yako...

Na katika hiyo definition toa kazi zote za huyo ambaye Pengo halizibiki ili tupime na wale ambao inasemekana wameziba Pengo.., (na hapo tutaangalia nini Ujumbe, Mistari au kitu gani - inabidi tuweke vigezo)

Mwisho kabisa ni vigumu kupigana / kupambana na legend (kwa maana ya mtu ambaye amekufa katika peak yake) mara nyingi the legend is bigger than the person...

Utasikia 2 Pac (angekuwa hai) huenda angekuwa hai angetoa vibao vya ajabu ajabu na kuanza kuimba taarabu..., Au R-Kerry huenda angekufa 10 years ago watu wangemkumbuka kwa kazi yake mujarabu...
 
Dah nimekuelewa,. Wapi Ngwair alikuwa anawazidi wenzake??
 
Fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…