Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Wana Jamii Forums hope ni wazima wa afya, njooni tujadili kidogo.
Hivi ni kweli kwenye uzima wake Albert Magwair hakukuwa na rapa mkali kuliko yeye? Ni kweli pengo lake Ngwair hadi leo halijazibika? Nani unamuona Ngwair mwingine?
Kama hakuna wakuziba pengo la Ngwair ikiwa wana Hip Hop wapo kibao, kwanini pengo halizibwi?
#forgive me