central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Hii flow.[emoji119]Aiseeee
Huu mdundo noma....Jay Dee kaumiza[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Beat na flow ya ngwair[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ni ngoma ya 14 kutoka katika album yake mwisho(NG'E) katika enzi zake Bonge moja la ngoma akielezea nikwajinsi gani pisi moja ambayo imetulia katika mahusiano lakini mwana anamdhalilisha Kwa Mikasa mbali mbali aisee kwenye mahusiano hii ngoma MACOW WIZZY aliandika sana sana haijawahi tokea na isitoshe Komando binti machozi Queen of Bongo fleva(LADY JAY DEE) alitendea kazi kwenye chorus matata nahapa kwenye mdundo Lamar alijitahidi sana
"KUWA NA MMOJA AMBAYE ATAKUTHAMINI BECAUSE WE NI BONGE LA QUEEN"Alimalizia marehemu ALBERT MANGWERA Aka GWAIR(R.I.P)
[emoji91][emoji119]Nimeona niisikilize hiyo nyimbo yake now, aisee ni nzuri, may his soul keep resting in peace. Nilikua naipendaga ile mitungi mikasi
mwana mwishoni kasema hivi.๐Sema mwana Naye alikuwa anamsagia kunguni mchizi......ye ndoa ya watu ilikuwa inamhusu nini๐๐
Hatari sana Komando binti machozi hajawahi kupoa kwenye collaboration na kama mtu wa misingi ya HIPHOP itafute ngoma ya ONE INCREDIBLE inaitwa MLIBWENDE au MISS CHINESE ya STERIO walitisha sanaHuu mdundo noma....Jay Dee kaumiza[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Beat na flow ya ngwair[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]