Cowbama.

Cowbama.

Ni ngoma ya 14 kutoka katika album yake mwisho(NG'E) katika enzi zake Bonge moja la ngoma akielezea nikwajinsi gani pisi moja ambayo imetulia katika mahusiano lakini mwana anamdhalilisha Kwa Mikasa mbali mbali aisee kwenye mahusiano hii ngoma MACOW WIZZY aliandika sana sana haijawahi tokea na isitoshe Komando binti machozi Queen of Bongo fleva(LADY JAY DEE) alitendea kazi kwenye chorus matata nahapa kwenye mdundo Lamar alijitahidi sana
"KUWA NA MMOJA AMBAYE ATAKUTHAMINI BECAUSE WE NI BONGE LA QUEEN"Alimalizia marehemu ALBERT MANGWERA Aka GWAIR(R.I.P)
 
Huu mdundo noma....Jay Dee kaumiza[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Beat na flow ya ngwair[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hatari sana Komando binti machozi hajawahi kupoa kwenye collaboration na kama mtu wa misingi ya HIPHOP itafute ngoma ya ONE INCREDIBLE inaitwa MLIBWENDE au MISS CHINESE ya STERIO walitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom