Cowiti anusurika kuuawa Tarime na genge la wauaji, wadhurumati, wafanya magendo wakishirikiana na baadhi ya maafisa, asota mahabusu

Nchi ngumu hii...haya usalsma naona kaingia mpya akaangalie kama haya watu wake ndio wametumwa wakayafanye.
 
Kanda maalumu ni shida matajiri majambazi tupu zakaria karudi tena wakati wa utawala wa magufuli alipotezwa .
 
baba asa kule nyamongo hapana kwakweli utasikia mara mtoto amebakwa,mara watu wanarushiana risasi kwenye baa kwakweli kule ni kuchungu
 
Kinacholeta shida ni namna nature ya mji wa tarime ulivojiweka. Kwanza ni mji ambao mabwanyenye(watawa, watu ambao wanajiona wao ndo kusema na walioshikilia uchumi wa tarime) ni wazawa hakuna mtu kuja alieweza kuwekeza uchumi nae akaonekana kwaio wanajitawala wenyewe hii inawapa kiburi sabu wanajuana. Tarime ni mji mdogo sana siamini kama unaweza ukashindikana kiasi hicho.

Pili, Uongozi mbovu(poor leadership) sasa hili limeanzia ngazi ya juu kabsa hata kama ni kulalamika sijui unalilalamikia wapi pengne mwenda zake angekuepo sehem ya kulalamika ukasikika ilikuepo!. Sasa kama viongozi wa juu kabsa na maafisa walioaminiwa wanakua involved na wa harifu ni force gani itakayowazuia wakati wao ndo wenye power!

Inaumiza sana kuona mambo ya namna hii yanaendelea ktk jamii, acha tupate akili cku maumivu yakizidi tutapata akili hatutasubiri kushawishiwa kuchukua hatua.

Tarime ni ya ajabu sana, kabla ya tohara za ukeketaji hili suala lilikemewa sana na viongozi wa juu wa serikali kwa mkwara uliopigwa niliamini ukeketaji hautakuwepo kabsa lkn ni kama ndio walikua wanalipigia promo mpaka sasa watoto wanakeketwa kweupe tena ofisi zao ndio njia wanazopita hao mabinti wanapotoka kukeketwa!

Kichwa changu ndiyo serikari yangu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kuna shida sana Tarime
 
Kazi ni kubwa mno. Kuendelea ni ndoto sana
 
Tarime inayozungumzwa ni ile ya kina Heche..au ni ipi hiyo..??
 
Ni sahihi
Mama ameliona hili kuna shida idarani hata hivyo kamvumilia sana D1 bado Hamduni wa PCCB haiwezekani mtu awe DG Takukuru au Tiss ndo awe tajiri means wanauza dili kwa wahalifu ndo maana Nchi kila leo inashindwa kusonga mbele kwa speed mama aangalie upande wa pili PCCB watu wanafanya kazi kwa mazoea tu
 
Tatizo la Mkoa wa Mara na wilaya zake Kuna watu ni miungu watu, hawagusiki kirahisi...km wilaya ya Tarime jamaa wamezidi Sana Kuna kikundi Cha watu wanaufanya wilaya ya Tarime km ni maliyao kuanzia mpakani sirari hadi utegi Rorya wao ndo watawala.
Serikali na idara zake za usalama inapaswa kuingilia kati ustawi wa uwo Mkoa Kwa ujumla.
 
Kweli kabisa
 
Uko sahihi kabisa
 
Hili jiwe ... Likitua lazima liumize tu
Waje wasome au Chawa wao waoneshe kuwa mmepigwa na kitu kizito..


R.I.P JPM.
 
Madaraka madaraka dah mzee Lawiti kwenye ukweli uongo ujitenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…