Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa ni WA ovyo sana hao. Kuna wengine waliwahi kukamatwa wakiiba madini Serengeti ishu ikapotezewaUsalama wa Taifa ni aibu kutuhumiwa
Magu alimshughulikia sana mshikaji; ila alikuwa mafia Ile mbaya.Kuna yule tajiri wa mabasi hapo Tarime ndiyo alijua namna nzuri ya kudeal na hao watu,
Nadhani anaitwa zakaria
Gachuma alicheza part yake wakati wa JPM japo kwa usiri sana; ndio maana Zakaria alishughulikiwa vilivyo kipindi kile.Tarime kuna ujinga wa ubabe sana. Halafu limekuwepo kwa miaka mingi sana. Halafu tatizo jingine akiteuliwa kiongozi mpya huko awe Mkuu wa Wilaya, Mkoa, OCD, RPC, Mahakimu wanamuwahi kumweka mfukoni.
Miaka ya tisini alishawahi kuwepo jambazi mmoja katili sana, ilibidi aletwe sniper kutoka mkoa mwingine ammalize.
Hii si sifa nzuri kwa Wilaya ya Tarime. Viongozi wa juu wanatakiwa waliangalie hili kwa jicho la karibu. Hivi hata Gachuma ambaye angalau ana kaustaarabu na connection kubwa anashindwa nini kuongea na wakubwa ili kuweka hali sawa (ingawa ana urafiki na Zakaria).
Halafu Zakaria na umri na utajiri wake bado mpaka sasa hana exposure. Sasa Mtu kama Zakaria ni wa kupigania nyumba!!
huna akili.
Wengi waajiriwa kwa vimemo.Huwa ni WA ovyo sana hao. Kuna wengine waliwahi kukamatwa wakiiba madini Serengeti ishu ikapotezewa
Ali hapi alivyokuwepo huko hakuyajua hayo?Uko sahihi kabisa. Tarime shamba la Bibi. Kila anayekuja anashirikiana na wahalifu hao hata akihamishwa tayari anakuwa na utajiri wa kutosha.
MuulizeAli hapi alivyokuwepo huko hakuyajua hayo?
sina namba yake we unayo?Muulize