Cowiti anusurika kuuawa Tarime na genge la wauaji, wadhurumati, wafanya magendo wakishirikiana na baadhi ya maafisa, asota mahabusu

Idara ya mahakama, jeshi la polisi na ccm, ni janga na balaa kwa hii nchi!
 
Tarime kuna ujinga wa ubabe sana. Halafu limekuwepo kwa miaka mingi sana. Halafu tatizo jingine akiteuliwa kiongozi mpya huko awe Mkuu wa Wilaya, Mkoa, OCD, RPC, Mahakimu wanamuwahi kumweka mfukoni.

Miaka ya tisini alishawahi kuwepo jambazi mmoja katili sana, ilibidi aletwe sniper kutoka mkoa mwingine ammalize.

Hii si sifa nzuri kwa Wilaya ya Tarime. Viongozi wa juu wanatakiwa waliangalie hili kwa jicho la karibu. Hivi hata Gachuma ambaye angalau ana kaustaarabu na connection kubwa anashindwa nini kuongea na wakubwa ili kuweka hali sawa (ingawa ana urafiki na Zakaria).

Halafu Zakaria na umri na utajiri wake bado mpaka sasa hana exposure. Sasa Mtu kama Zakaria ni wa kupigania nyumba!!
 
Nilishangaa sana yule Mwenyekiti mpya kushinda kumbe kumbe Kuna jitu lilikatwa jina😂😂😂 ama kweli kufa kufaana
 
Tarime kuna ujinga wa ubabe sana. Halafu limekuwepo kwa miaka mingi sana. Halafu tatizo jingine akiteuliwa kiongozi mpya huko awe Mkuu wa Wilaya, Mkoa, OCD, RPC, Mahakimu wanamuwahi kumweka mfukoni.

Miaka ya tisini alishawahi kuwepo jambazi mmoja katili sana, ilibidi aletwe sniper kutoka mkoa mwingine ammalize.

Hii si sifa nzuri kwa Wilaya ya Tarime. Viongozi wa juu wanatakiwa waliangalie hili kwa jicho la karibu. Hivi hata Gachuma ambaye angalau ana kaustaarabu na connection kubwa anashindwa nini kuongea na wakubwa ili kuweka hali sawa (ingawa ana urafiki na Zakaria).

Halafu Zakaria na umri na utajiri wake bado mpaka sasa hana exposure. Sasa Mtu kama Zakaria ni wa kupigania nyumba!!
Gachuma alicheza part yake wakati wa JPM japo kwa usiri sana; ndio maana Zakaria alishughulikiwa vilivyo kipindi kile.
Kwa sasa hawezi usikilizwa maana pia anaonekana ni team mweda zake
 
inshort tarime ni sinaloa iliyochangamka.huo mji inabidi utembee na chuma kiunoni mda wote.
 
Uko sahihi kabisa. Tarime shamba la Bibi. Kila anayekuja anashirikiana na wahalifu hao hata akihamishwa tayari anakuwa na utajiri wa kutosha.
Ali hapi alivyokuwepo huko hakuyajua hayo?
 
Ila Tarime...wanaposema kanda maalum wanamaanisha
 
Back
Top Bottom