Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,750
- 2,283
Habari za leo wajenzi na wajuzi, ningependa kujua hili katika ujenzi ni cozi ngapi za tofari zinafaa kusimama kabla ya ya rinta je cozi 10 au 11 ipi nzuri hasa kiujenzi.
Pia ni size gani ya madirisha huwa ni nzuri na inayopendeza kwenye nyumba ya kawaida tu ya kuishi!. (yaani madirisha yawe na futi ngapi kwa ngapi).
Asanteni sana!
Pia ni size gani ya madirisha huwa ni nzuri na inayopendeza kwenye nyumba ya kawaida tu ya kuishi!. (yaani madirisha yawe na futi ngapi kwa ngapi).
Asanteni sana!