Weka kozi 10 itapendezaHabari za leo wajenzi na wajuzi, ningependa kujua hili katika ujenzi ni cozi ngapi za tofari zinafaa kusimama kabla ya ya rinta je cozi 10 au 11 ipi nzuri hasa kiujenzi.
Pia ni size gani ya madirisha huwa ni nzuri na inayopendeza kwenye nyumba ya kawaida tu ya kuishi!. (yaani madirisha yawe na futi ngapi kwa ngapi).
Asanteni sana!
10 ndo poa 11 inakuwa kama bohari bwanaHabari za leo wajenzi na wajuzi, ningependa kujua hili katika ujenzi ni cozi ngapi za tofari zinafaa kusimama kabla ya ya rinta je cozi 10 au 11 ipi nzuri hasa kiujenzi.
Pia ni size gani ya madirisha huwa ni nzuri na inayopendeza kwenye nyumba ya kawaida tu ya kuishi!. (yaani madirisha yawe na futi ngapi kwa ngapi).
Asanteni sana!
Kuna lodge nililala Tanga nafikiri wamefanya hio ya 11 kwa 4, imenivutia sana. Mimi huwa naweka 10 kwa 3 ila next time nitajaribu hii 11 kwa 411 kabla 4 baada