CP Faustina Shilogile: Ukimuona polisi chukulia kama umemuona ndugu yako

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Wananchi wa Mkoa wa Geita wamehimizwa kuacha tabia ya kuwaogopa askari polisi na badala yake wawaone kama ndugu wanaowalinda, si maadui.
Wito huo umetolewa na Kamishna wa

Polisi Jamii Tanzania, CP Faustina Shilogile, katika mkutano na makundi mbalimbali ya jamii wakiwemo waandishi wa habari, wasanii nk
FB_IMG_1768752012796.jpg
 
View attachment 3531530
Pumbavu zake
 
Kama ndugu ambae hataki kabisa masihara na mimi. Yule ndugu ambae hata nikiwa kama najikuna ananiwasha makofi. Yule ndugu ambae mkikutana huko njiani hakutambulishi kama ndugu yake.. Yaani nakaa chonjo na kulinda ulimi wangu, nikipata upenyo nakimbia kabisaaaaaaa.
 
Najua na wewe unaesoma hii komenti umetukana kimoyo moyo, bishaa 😂 😂 😂
 
Dhana ya Polisi jamii ilikufa rasmi October 29,2025.

Hapo awali polisi kata walikuwa wanapata tabu kuaminika kutokana na matukio ya utekaji kuhusishwa nao,hiyo 29/10 ndiyo ikaharibu kila kitu.
 
Wananchi wa Mkoa wa Geita wamehimizwa kuacha tabia ya kuwaogopa askari polisi na badala yake wawaone kama ndugu wanaowalinda, si maadui.
Wito huo umetolewa na Kamishna wa

Polisi Jamii Tanzania, CP Faustina Shilogile, katika mkutano na makundi mbalimbali ya jamii wakiwemo waandishi wa habari, wasanii nk
View attachment 3531530
Maajabu, muuaji anakuwa ndugu
 
Huyu haitaki kazi ya polisi, tangu lini polisi tanzania ukamwona kama ndugu yako. Wenzake watamwondoa kwa kauli hizo. Polisi sio siasa ukikutana na muhalifu ni kupiga risasi ndo kauli ya kipolisi siki hizi.
 
Back
Top Bottom