Tuendako Mlimani
Member
- May 24, 2021
- 8
- 25
AmeniAmen
Nyota njema huonekana asbhKumkamata aliyekuwa DC sio kigezo kwamba anachapa kazi. Mimi nataka kuona siku moja akimpeleka mahakamani Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu au Waziri aliye madarakani. Hapo ndio nitajua anachapa kazi na muadilifu. Zaidi ya hapo hatakuwa tofauti na Anatory Kamazima na Edward Hosea!
Tamko la kiongozi wa chadema kutetea hayo unayoyasema Kiko wapi?Siku hizi Cdm hamtaki sheria ifate mkondo wake mnabembeleza mambo kufanyika kwa utashi wa mtu mara ooh ikikupendeza mama kamata yule, mara kamanda Hamduni unatufurahisha. Mara sijui nini
Hii nchi watu hawapo serious kabisa, yani mambo ya katiba, time sijui haki za binadamu tupa kuleeee wapinzani nao wanaenda na upepo, leo wanakuunga mkono kesho wakiona maslahi duni wanageuka ktk story za katiba.
Naskitika sana hata sasa baadhi ya matukio viongozi wa upinzani na chama tawala wana hawataki kuhubiri haki wanataka tu kukomoa.
Nchi hii itachezewa sanaaaa
Mpiga pushup aliwapotosha sana watoto wa wenzake leo msala umebaki kwaoKwa yule jamaa wote waliojihusisha na 'kazi maalum' watafurahishwa. Na hapo yupo PCCB tu, sijui angekua IGP.
Wahalifu wote wakumbuke wosia wa IGP Sirro, aliwaambia "jinai haifi", unaweza kufanya jinai leo ukadhani rais atakulinda milele lakini utakua unajidanganya.
CP Hamduni wewe ni mchapakazi tangu ukiwa kamanda Ilala.Ila nakuomba uongozi wa PCCB Mwanza ufumuliwe,sina imani nao, taarifa ya kufanyiwa kazi mwezi mmoja inafanywa zaidi ya miezi mitatu pamoja na ushahidi wa kutosha kupewa.Habari za muda huu usomapo uzi huu!
Uko msemo wa kiafrika (Africa ya kati) kuwa "katika janga kuna Kuna mwokozi" na katika ubaya kuna mpambanaji.
CP Hamduni usibadilike. Linda nafsi yako, mkumbuke Mwenyezi Mungu wako, tenda haki. Komesha uonevu, dhuluma.
Sio wote watapewa haki na cheo Kama wewe. Mwakani jiandae uende hija ukiwa umeweka mambo sawa. Tetea wenye kuonewa. Lipia haki zilizodhulumiwa.
Umeinuliwa mahali pa juu, tenda, timiza, tunakuombea. Ameen