CP Salum Hamduni usibadilike, komesha uonevu na dhuluma kupitia PCCB

CP Salum Hamduni usibadilike, komesha uonevu na dhuluma kupitia PCCB

Habari za muda huu usomapo uzi huu!

Uko msemo wa kiafrika (Africa ya kati) kuwa "katika janga kuna Kuna mwokozi" na katika ubaya kuna mpambanaji.

CP Hamduni usibadilike. Linda nafsi yako, mkumbuke Mwenyezi Mungu wako, tenda haki. Komesha uonevu, dhuluma.

Sio wote watapewa haki na cheo Kama wewe. Mwakani jiandae uende hija ukiwa umeweka mambo sawa. Tetea wenye kuonewa. Lipia haki zilizodhulumiwa.

Umeinuliwa mahali pa juu, tenda, timiza, tunakuombea. Ameen
CP Hamduni wewe ni mchapakazi tangu ukiwa kamanda Ilala.Ila nakuomba uongozi wa PCCB Mwanza ufumuliwe,sina imani nao, taarifa ya kufanyiwa kazi mwezi mmoja inafanywa zaidi ya miezi mitatu pamoja na ushahidi wa kutosha kupewa.
 
Wataliona hili
 
Back
Top Bottom