Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makalla. Ametua kwa kishindo na kupokelewa na maelfu ya wananchi mkoani Lindi.
Ambapo katibu Wetu Msomi mahiri na mtaalamu wa mahesabu na mwenye uzoefu mkubwa sana ndani ya serikali na chama. Amefanya ukaguzi wa miradi mbalimbali pamoja na kumshukuru sana Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kutoa kiasi cha Billion mia moja kufanya ukarabati wa madaraja yaliyokuwa yameharibiwa na Mvua.
Ametoa pia maagizo mazito kwa waziri wa Ujenzi kuendelea kuwa mkali pale itakapotokea Uzembe katika usimamizi wa miradi ya maendeleo hususani miundombinu ya barabara. Amesema ya kuwa chama kinafurahi kinapoona kazi zikifanyika vyema na kwa ufanisi kwa ajili ya kuwarahisishia wananchi .
Haya yanafanyika wakati upande wa pili wa CHADEMA wao wanaendelea kuvurugana na kugombeana fito mpaka kufikia hatua kuibuka kwa makundi ndani ya chama. Huku wengine wakijiita G 55. Halafu wakishindwa uchaguzi kwa kupata 0% za kura za ubunge na urais wataanza kupiga makelele yao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.