Cpa bwana!!!!!

Mwache aitafute CPA usipokuwa nayo hata kama una phd 10 hauwezi kuwa chief accountant ,hauwezi kuwa auditor,kufungua financial consultancy firm kulingana na sheria ! Narudia tena kisheria so hii kitu tamu aseee fahamu matumizi yake tu
 
Mjini hapa wanaoheshimika sana wote hawana cpa wala nini shule za kawaida tu ndio hao kina hasheem thabeet, Jakaya kikwete, pinda, Kimei, Twissa,

Kama basic university education,, I mean Degree imeshindwa kukutoa kimaisha, hata upate PHD utakuwa hivyo hivyo tu,,

CPA kibao zinazunguka na vibahasha na wengine tupo nao maofisini mishahara sawa sawa,

Siku hizi kazi zote zinafanywa na System na tunapoelekea ndani ya 10 years to come,, System zinazokuja zitafanya kila kitu.

Ushauri tu tafuteni na Degree za Mtaani kama mnataka kufanikiwa,,

CPA sijui masters hata siku moja hazitakuletea Financial Freedom,,

Chekecheni akili vijana mtoke vipi?

Ha ha ha ni mawazo tu masela msijenge chuki..
 
Hata watu mseme vipp, CPA bado ina umuhimu sana, na huiwezi kuringanisha na master
 
hahahaha, halijakosewa bana, ile nayo si ulishaisomaga enzi hizo!
 
Hata ije system ya aina gani mkuu,mhasibu mwenye CPA/Auditor/Financial Consultant/Tax Consultant na nyingine zinazohitaji hio CPA,hio system kwa vyovyote vile haitawakwepa hawa watu ni lazima wawepo tu mkuu!! Hao uliowataja ni sawa na ni lazima tu wawepo ndio maana kwenye jamii kuna kitu kinaitwa "Specialization and Division of labour" ni sawa na ile terminology ya biology ya "EcoSystem" mana yake ni kua wote tunategemeana cha msingi ni specialization na professionalism tu!!! Kila kazi na sehem inalipa,ni umakini wako tu na malengo yako!!!
 
Mm nasubiri hiyo mitaala mipya niione maana hii ya zamani imenishinda mara tatu mfululizo nimedo cjarecod hata moja .nommaaaaaaaaa sanaa

Mitaala mipya ndo balaa tupu, kwa aliyemaliza degree anaanzia intermediate level... So kama unashindwa hiyo sita... Utakutana na 10
 
Mwache aitafute CPA usipokuwa nayo hata kama una phd 10 hauwezi kuwa chief accountant ,hauwezi kuwa auditor,kufungua financial consultancy firm kulingana na sheria ! Narudia tena kisheria so hii kitu tamu aseee fahamu matumizi yake tu

Kimsingi ukiwa huna CPA kuitwi mhasibu,period...........
 
Ila cpa nayo! Kuna jamaa anasoma cpa miaka sijui 10 sasa? Hapo inbetween kafanya na postgraduate diploma moja na masters 2. Sijui anataka cpa aipeleke wapi!

Labda anataka ujiko tu...

But all in all kuwa accredited na kitu kama CPA it's a big plus
 
Kuna tatizo kubwa la mawasiliano kati ya NBAA na vyo vinavyofundisha taaluma ya uhasibu. Ni matumaini yangu kuwa sylabus inayotumika kufanyi mitihani ya CPA ndio ingetumuka kufundishia vyuo vya uhasibu. Haiingi akilini wanafanya mtihani watu 2500 wanafaulu 300. Ina maana hakuna mawasiliano kati ya vyo na NBAA kuhusu sylabus.
 

Mkuu unasema wanafaulu miatatu kati ya 2500? Mbona wengi sana! Mkifanya 2500 mnapata CPA 48 AU 50 tu........Wewe umeipa alama kubwa sana hiyo mkuu...
 
ukiamua kutoka moyoni ukajitoa kabisa kwa hali na mali basi cpa utaipata...ila vinginevyo bora ukakomae na mba coz u'll be wasting ur time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…