Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe tu mbona vyote tumesoma masters na CPANyie komaeni na CPA sis 2nakomaa na masters
Mm nasubiri hiyo mitaala mipya niione maana hii ya zamani imenishinda mara tatu mfululizo nimedo cjarecod hata moja .nommaaaaaaaaa sanaa
Mwache aitafute CPA usipokuwa nayo hata kama una phd 10 hauwezi kuwa chief accountant ,hauwezi kuwa auditor,kufungua financial consultancy firm kulingana na sheria ! Narudia tena kisheria so hii kitu tamu aseee fahamu matumizi yake tu
Ila cpa nayo! Kuna jamaa anasoma cpa miaka sijui 10 sasa? Hapo inbetween kafanya na postgraduate diploma moja na masters 2. Sijui anataka cpa aipeleke wapi!
Kimsingi ukiwa huna CPA kuitwi mhasibu,period...........
Kuna tatizo kubwa la mawasiliano kati ya NBAA na vyo vinavyofundisha taaluma ya uhasibu. Ni matumaini yangu kuwa sylabus inayotumika kufanyi mitihani ya CPA ndio ingetumuka kufundishia vyuo vya uhasibu. Haiingi akilini wanafanya mtihani watu 2500 wanafaulu 300. Ina maana hakuna mawasiliano kati ya vyo na NBAA kuhusu sylabus.