PreGE2025 CPA Makalla: Hakuna mwenye ubavuwa wa kuzuia Uchaguzi Mkuu 2025, awataja Lissu na Heche

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema hakuna Chama au Kikundi Chochote Chenye Uwezo wa Kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu.

Makalla ametoa Kauli hiyo mei 21, 2025 akizungumza na Wananchi Jijini Mwanza kupitia Mkutano wa Hadhara ikiwa ni Muendelezo wa Ziara yake ya Siku 7 kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Hawa watu wenye vichwa kama vibuyu wana matatizo sana kwenye Bongo zao 🤒
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema hakuna Chama au Kikundi Chochote Chenye Uwezo wa Kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu.

Makalla ametoa Kauli hiyo mei 21, 2025 akizungumza na Wananchi Jijini Mwanza kupitia Mkutano wa Hadhara ikiwa ni Muendelezo wa Ziara yake ya Siku 7 kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Si afanye huwo uchaguzi au amekatazwa. Mbona analia sana wakati anadola ya kumlinda anachohofia ni nini huyo mwizi?
 
Anawajua waamuzi ni Wananchi? Shida ya CCM wanaamini kuwa wao ndio kila kitu. Octoba watashangaa wakijikuta wapo wawili kituoni.
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema hakuna Chama au Kikundi Chochote Chenye Uwezo wa Kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu.

Makalla ametoa Kauli hiyo mei 21, 2025 akizungumza na Wananchi Jijini Mwanza kupitia Mkutano wa Hadhara ikiwa ni Muendelezo wa Ziara yake ya Siku 7 kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Af hapo unaambiwa yuko Jijini mwanza, watu ni kama vile hawapo mkutanoni, wapo kimwili tu, wanafunzi ndo wamejazana hapo, makala ni kama anaongea mwenyewe
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema hakuna Chama au Kikundi Chochote Chenye Uwezo wa Kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu.

Makalla ametoa Kauli hiyo mei 21, 2025 akizungumza na Wananchi Jijini Mwanza kupitia Mkutano wa Hadhara ikiwa ni Muendelezo wa Ziara yake ya Siku 7 kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa.

For regular civil servants within ministries only:

In Tanzania, which ministries offer the highest salaries, bro—excluding the Ministry of TAMISEMI, TRA, and the Ministry of Defence?
 
Back
Top Bottom