Kwa hili lililojitokeza la tengua pangua wananchi wa Mwanza tutakukumbuka sana CP Makalla kwa muda mfupi umeonyesha weledi na umakini wa kushughulikia miradi ya hapa Mwanza ie uwanja wa ndege, meli, soko kuu, timu ya Pamba, madarasa, Daraja la JPM nk kwa kweli ninakumbuka maneno ya Mbunge Tabasamu na Musukuma, nikiazima maneno yao siku ya kusaini mkataba wa jengo la kiwanja cha ndege kuwa
'TUTAKUKUMBUKA'. Tunakutakia maisha mema na yenye mafanikio
'TUTAKUKUMBUKA'. Tunakutakia maisha mema na yenye mafanikio