Mkuu una uhakika?
Kwa nijuavyo mimi atatakiwa kuanzia Module A - D kama ana dipoloma au ATEC II.
Kuhusu suala la ratiba, na gharama hizo ni za wewe na Centre unayosomea. Nyingi zinacharge 300,000.00 kwa module moja mfano A au E n.k
Gharama za mtihani wa bodi ni kama Tsha 150,000.00 ukiacha registration na matakataka mengine ambayo yote yanaweza kuaccumulate Tshs 175,000.00.
Akimaliza Module D ndiyo anaingia Final Stage ambayo ni E & F ambayo akifaulu ndiyo anakuwa qualified CPA (T).
Huyo mdogo wako anakasafari karefu kidogo.
Ushauri.
Usikwepe gharama mpeleke mdogo wako Advanced Diploma katika chuo chochote kile kama IFA, TIA nk.
Akimaliza atanzia module E, kwa maana nyingine A - D ni equivalent na Advanced Diploma.