Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hili wazo najua Yanga wataiba mwakani, Simba nawashauri ingawa mnaniudh sana kwa kukosa ubunifu, anzisheni banda lenu pale sabasaba mwakani mtapiga hela sana, mtauza CD za mechi za zamani mlizowapiga yanga, mtauza jezi, soksi, fulana.
Mtaweka makombe mashabiki wapige picha, wapelekeni wachezaji wa zamani akina Malota Soma, Twaha Hamidu, Mosses Mkandawile, watu wakapige picha nao, na mambo mengine.
Hamtakosa mapato pale sabasaba, sio kispika na WhatsApp. Huo ni ubunifu nawapa, shughuli za serikal kama maonyesho nyie nendeni Simba iko katika mioyo ya watu
Sasa wewe Ceo na huyo CPA mnabuni nn zaidi ya kumpigia kelele tajiri?