Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
heshima yako.
mimi ni mhasibu nipo Korogwe napenda kufanya mitihani ya Bodi nikianzia module E, tatizo nililokuwa nalo kwa mkoa wa Tanga hakuna review center; kwa maeneo ya mikoa jirani kama DSM naweza kupata week ent review center.
tafadhari naomba nishauri njia yoyote ambayo naweza kuitumia kutimiza ndoto yangu ya kupata CPA