Kisoda James JF-Expert Member Joined Jun 11, 2020 Posts 1,114 Reaction score 816 Jun 2, 2021 #221 Anna-Gabriella said: Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania. Click to expand... President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.
Anna-Gabriella said: Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania. Click to expand... President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.
Nyamambara JF-Expert Member Joined Jan 11, 2021 Posts 407 Reaction score 330 Jun 2, 2021 #222 Kisoda James said: President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama. Click to expand... Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.
Kisoda James said: President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama. Click to expand... Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.
KazinjaTwo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2021 Posts 330 Reaction score 333 Jun 3, 2021 #223 Nyamambara said: Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati. Click to expand... Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.
Nyamambara said: Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati. Click to expand... Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.
Binti Abdullah JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 653 Reaction score 538 Jun 3, 2021 #224 KazinjaTwo said: Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani. Click to expand... Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
KazinjaTwo said: Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani. Click to expand... Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.