Cpa

Cpa

Mtavinga

Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Chuo kilichoongoza mitian ya CPA mwaka jana ni MUCCoBS,hakuna habar za UDSM,MZUMBE wala IFM
 
Aksante kwa taarifa ......... Ingawa sijajua ulikuwa ukimaanisha nini
 
CPA haisajiriwi kwa kufuata chuo bali ni sifa husika, ndio maana wapo wanaoanzia Nabe, Atec na hata module mbalimbali.
 
Chuo kilichoongoza mitian ya CPA mwaka jana ni MUCCoBS,hakuna habar za UDSM,MZUMBE wala IFM

umejiunga jamii forum 5th September 2013 .it means una kama siku 3 na masaa 2 tu humu ndani!! ndo maana hata unapost upumbavu wako! acha kusifia chuo soma dogo utafeli..! wanafunzi wa shule za kata mna matatizo sanah nyie, MULUGO amewaharibu !.
 
likeeeee...!
 
DOGO anamaanisha kwa wale wanafunzi wa uhasibu kuna mitihani ya bodi ya wahasibu NBAA,Na kwa taarifa tu ukichukua wanafunzi waliofaulu mtihani huo kwa kila chuo ugawanye kwa numba ya wanafunzi wote basi,chuo cha ushirika Muccobs kiliongoza kwa kufaulisha wahasibu wengi,kwa maneno rahisi wahasibu wa Muccobs wanafundishwa na kuiva vilivyo ukilinganisha vyuo vingine vilivyo baki kuwa methali ya kiswahili UZURI WA MKAKASI -NDANI KIPANDE CHA MTI! Karibuni Muccobs wale wa Baf kisima cha wahasibu,
 
Back
Top Bottom