Wakusoma 12 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 4,035 Reaction score 11,462 Oct 1, 2022 #21 Sausi Alex said: Sasa wewe na Muslim mnautofauti gani maana hata Leo nchi za kiafrika zinatambua kuwa watu wetu ni wadumavu wa akili Click to expand... Hilo ni nje ya maada. Ukweli hawa ndugu zetu ni wachache sana wanaoweza kupambanua mambo.
Sausi Alex said: Sasa wewe na Muslim mnautofauti gani maana hata Leo nchi za kiafrika zinatambua kuwa watu wetu ni wadumavu wa akili Click to expand... Hilo ni nje ya maada. Ukweli hawa ndugu zetu ni wachache sana wanaoweza kupambanua mambo.
S Suleman Jr JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 341 Reaction score 525 Oct 1, 2022 #22 Don Vill said: Pumbaf ,vibaraka WA US halafu wanasema death to America na kufanya vitendo vya kigaidi dhidivya raia WA US na hata kuishambulia US yenyewe kama Alqaida walivyofanya 9/11 ? Logic ya kipumbav ya wanywa gongo Click to expand... Usilolijua kwenye ujasusi unaeza kumuua hata mzazi wako ili lengo flani litimie, Unajua vita ya congo us anahusika? Kamuulize kagame atakujibu Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Don Vill said: Pumbaf ,vibaraka WA US halafu wanasema death to America na kufanya vitendo vya kigaidi dhidivya raia WA US na hata kuishambulia US yenyewe kama Alqaida walivyofanya 9/11 ? Logic ya kipumbav ya wanywa gongo Click to expand... Usilolijua kwenye ujasusi unaeza kumuua hata mzazi wako ili lengo flani litimie, Unajua vita ya congo us anahusika? Kamuulize kagame atakujibu Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app