CPWAA anatumia mkorogo??? Umaurufu wa Bongo Bwana

CPWAA anatumia mkorogo??? Umaurufu wa Bongo Bwana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
IMG_0019.jpg
 
wasanii wetu wamegundua mkorogo ndio mali angalau wanaoigiza movie za kibongo karibu wote wamekuwa weupe. Nitarudi baadae
 
Mambo ya Cameroon hayo.wanaume tumebaki wa kuhesabu.
 
Mh kweli huu mkorogo,,amekuwa kama mkongolese
o

Kwani lini aliwa siyo Mkongolese?. Futilia jina la baba yake mzazi ndio utajua. Majina ya kila "ILUNGA" asili yake inaeleweka. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
 
nyie kila mtu mkorogo acheni zenu...mkorogo uko wapi hapo?
 
Wakuu aisee hii ni noma.....majuzi kusema ukweli nilikutana nae huyu mchizi.....nikashangaa kweli inakuwaje nae akaanza kutumia mkorogo?...kiukweli sikumuelewa.....ukikutana nae ana kwa ana ni balaa zaidi.....
 
nyie kila mtu mkorogo acheni zenu...mkorogo uko wapi hapo?

Yaaani..mtu asisafiri kidogo akabadilishwa na hali ya hewa ya huko,baasi ishakuwa formula kuwa ni mkorogo...khaa!! Wala hana u-cameroon..ukitaka kuamini mlengeshee girlfriend wako au dada yako uone...
 
Back
Top Bottom