Cr7 is back!(finally scored his first serie A goal)

Cr7 is back!(finally scored his first serie A goal)

Kina messi hawajawahi kuhama timu au ligi ngeni tofauti na la liga ujue
Kina Messi kufunga wao ni kawaida tu kila siku. Lakini jamaa yetu hafa akifunga Kuna breaking news 😀😀😀😀
 
Kina Messi kufunga wao ni kawaida tu kila siku. Lakini jamaa yetu hafa akifunga Kuna breaking news 😀😀😀😀
Ndio ujiulize sasa mwenyewe why akifunga yeye ni breaking news duniani kote
 
Kina Messi kufunga wao ni kawaida tu kila siku. Lakini jamaa yetu hafa akifunga Kuna breaking news 😀😀😀😀
Ivi messi tokea aanze "professional football" alishawahi cheza timu ingine tofauti na barcelona?
 
Hahahaahha daaah, munyama kashafunga kitambo hatuna makelele sisi
 
Leo kaweka 3 kibindoni, ila tupo kimyaaaa
Hizo 3 kafunga Uefa ambako si mahali pake hata yeye anajua mwenye hicho kiatu ni nani ni vyema hizo nguvu zake arudishe la liga ashindane na kina Benzema/Bale
 
Ivi messi tokea aanze "professional football" alishawahi cheza timu ingine tofauti na barcelona?

Sasa ustazi unataka aende wapi? Tim gani yenye hadhinaye? Maana timu zote zilizobakia hazina uwezo wa kumlipa pesa anazopata Barca....huyu king mwacheni alivyo...na msiendelee kumfananisha na vitu vya kijinga
 
Back
Top Bottom