Unajua sassuolo ni ya ngapi katika msimamo na ina point ngapi usiongee kama chiziAh! Kumbe Sassuolo
Ndio ujiulize sasa mwenyewe why akifunga yeye ni breaking news duniani koteKina Messi kufunga wao ni kawaida tu kila siku. Lakini jamaa yetu hafa akifunga Kuna breaking news ππππ
Unajua kwenye msimamo wa ligi ni ya ngapi au unaropoka tuMbona kibonde tu toka kitΓ mbo kila tim inajipigia tu
HayaUnajua sassuolo ni ya ngapi katika msimamo na ina point ngapi usiongee kama chizi
wamecheza Na kibonde
Kapateni juisi ya pilipili nakuja kulipa.Ah! Kumbe Sassuolo
Ivi messi tokea aanze "professional football" alishawahi cheza timu ingine tofauti na barcelona?Kina Messi kufunga wao ni kawaida tu kila siku. Lakini jamaa yetu hafa akifunga Kuna breaking news ππππ
Kina Messi kufunga wao ni kawaida tu kila siku. Lakini jamaa yetu hafa akifunbreKKunabbreaki
Mada sio kufunga ila kwa Mara ya kwanzaKina Messi kufunga wao ni kawaida tu kila siku. Lakini jamaa yetu hafa akifunga Kuna breaking news ππππ
Haijarish niwangap bt we jua nikibonde haiondoi ubovo waoUnajua kwenye msimamo wa ligi ni ya ngapi au unaropoka tu
Hizo 3 kafunga Uefa ambako si mahali pake hata yeye anajua mwenye hicho kiatu ni nani ni vyema hizo nguvu zake arudishe la liga ashindane na kina Benzema/BaleLeo kaweka 3 kibindoni, ila tupo kimyaaaa
ππππππKapateni juisi ya pilipili nakuja kulipa.
Unafoc sasaHaijarish niwangap bt we jua nikibonde haiondoi ubovo wao
Kina Messi kufunga wao ni kawaida tu kila siku. Lakini jamaa yetu hafa akifunga Kuna breaking news ππππ
Ivi messi tokea aanze "professional football" alishawahi cheza timu ingine tofauti na barcelona?
Amna sifoc bn bt leo pia naza yuko uwanjan UEF utanipa majibuUnafoc sasa
Leo anatupia Hat trickAmna sifoc bn bt leo pia naza yuko uwanjan UEF utanipa majibu
Hahahahaha,ngoja tusubr mkuuLeo anatupia Hat trick