Ila ni hao hao wazungu hasa waingereza ndo wamempamba mpaka kafika hapo.Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Kama messi anavyozidiwa status na Mbappe licha ya kuzungukwa na Dybala DI MARIA AGUERO HIGUAIN NK. MESSI MOST OVERRATED PLAYER EVER EVER EVER EVER.Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Akili zako haziko sawaHabari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Nusu fainali world cup 2006 ufaransa alicheza na nani?Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Ronaldo alikuwepo kwenye kikosi?Nusu fainali world cup 2006 ufaransa alicheza na nani?
Ndio alikuwepo, ushasahau kwenye world cup hiyo ndio alisababisha rooney kupewa red card?Ronaldo alikuwepo kwenye kikosi?
Tuongee kiuhalisia, ronaldo ana shepu ya mpira mazoezi mengi ila messi ana kipaji, na hana tumbo ya magoli kama ronaldoNdio alikuwepo, ushasahau kwenye world cup hiyo ndio alisababisha rooney kupewa red card?
You nailed itCristian Ronaldo Hana kipaji.
Ni kweli ni Mchezaji Mpambanaji,Mtu wa kutumia mbio na misuri.
Si mtaalami wa kupasia.
Mesi ni Mchezaji mwenye kipaji Cha Hali ya Juu.
Hata asipofanaya Mazoezi Mwaka mzima Bado at perform vizuri Uwanjani.
Ana skills na Ufundi.
C.Ronaldo ana bidii na jitihada
Humjui CR7 wewe, yule wenzake ni Messi, Gaucho, Lima nkHabari za mda huu,