CR7, mchezaji mjivuni asiye na kipaji

CR7, mchezaji mjivuni asiye na kipaji

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za mda huu,

Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup

Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.

Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.

PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
 
Ila ni hao hao wazungu hasa waingereza ndo wamempamba mpaka kafika hapo.
 
Habari za mda huu,

Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup

Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.

Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.

PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Kama messi anavyozidiwa status na Mbappe licha ya kuzungukwa na Dybala DI MARIA AGUERO HIGUAIN NK. MESSI MOST OVERRATED PLAYER EVER EVER EVER EVER.
 
Habari za mda huu,

Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup

Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.

Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.

PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Akili zako haziko sawa
 
Cristian Ronaldo Hana kipaji.

Ni kweli ni Mchezaji Mpambanaji,Mtu wa kutumia mbio na misuri.
Si mtaalami wa kupasia.

Mesi ni Mchezaji mwenye kipaji Cha Hali ya Juu.
Hata asipofanaya Mazoezi Mwaka mzima Bado at perform vizuri Uwanjani.
Ana skills na Ufundi.

C.Ronaldo ana bidii na jitihada
 
Nusu fainali world cup 2006 ufaransa alicheza na nani?
 
Mimi siyo shabiki wa CR7 ila kusema hana kipaji utakuwa mzushi na hujui mambo ya soka, labda ukajaribu mchezo wa rede.
Kipaji gani hara nusu final hajawahi kufikaWC
 
Cristian Ronaldo Hana kipaji.

Ni kweli ni Mchezaji Mpambanaji,Mtu wa kutumia mbio na misuri.
Si mtaalami wa kupasia.

Mesi ni Mchezaji mwenye kipaji Cha Hali ya Juu.
Hata asipofanaya Mazoezi Mwaka mzima Bado at perform vizuri Uwanjani.
Ana skills na Ufundi.

C.Ronaldo ana bidii na jitihada
You nailed it
 
Habari za mda huu,

Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup

Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.

Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.

PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Humjui CR7 wewe, yule wenzake ni Messi, Gaucho, Lima nk
 
Back
Top Bottom