CR7, mchezaji mjivuni asiye na kipaji

Tuongee kiuhalisia, ronaldo ana shepu ya mpira mazoezi mengi ila messi ana kipaji, na hana tumbo ya magoli kama ronaldo
Weka ushabiki pembeni, nitajie wachezaji 10 wenye vipaji ambao umewahi kuwashuhudia
 
Tanzania inaongoza kwa soka ya chuki,
Point zako haswa ni nini hapo?
Ndo maana umesema pitapita yako mtandaoni ndo ikakufanya uanzishe huu Uzi.
Uchambuzi wa namna hii waachieni wengine huku kwetu ni propaganda ndo tunaziweza
 
Kama imekuuma chomoa bibi isijetoka na Mav*
 
Tuongee kiuhalisia, ronaldo ana shepu ya mpira mazoezi mengi ila messi ana kipaji, na hana tumbo ya magoli kama ronaldo
Kwani mkuu ni kosa yeye kufanya mazoezi na kujituma kufikia malengo yake? Kupitia hayo ameweza kufika kwenye kiwango kikubwa mno na kuwa bora mno kuliko wengine wenye vipaji
 
Kama messi anavyozidiwa status na Mbappe licha ya kuzungukwa na Dybala DI MARIA AGUERO HIGUAIN NK. MESSI MOST OVERRATED PLAYER EVER EVER EVER EVER.
Unapomtaja Messi embu jaribu kutomringanisha na ronaldo, tunamkosea saana Messi.
 
Case closed.
 
Kwa hiyo kutoingia fainali ndio kukosa kipaji? Lewandoski na Halaand ambao hata hawakushiriki hawana vipaji? Mane je hana kibaji? Wewe ni bwege
Lewandosiky gani ambae hakushiriki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…