Mhhh inatafajarisha hii kitu...Ronaldo nae wamsaini
π π π ronaldo umri umemtupa mazoezi anayofanya na hali ya umri yanakataa hakuna anae mtaka kwa sasa hivi labda akacheza Raja Casablanca , tofauti na King GOAT Messi yule ni karama..Mhhh inatafajarisha hii kitu...Ronaldo nae wamsaini
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Hii ndio XI ya Ureno kwenye Semi final WC 2006 vs France.Ronaldo alikuwepo kwenye kikosi?
Unaweza cheza football bila kipaji?Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Unahangaika bure huyo jamaa ana kichwa kigumu sanaKwa hiyo kutoingia fainali ndio kukosa kipaji? Lewandoski na Halaand ambao hata hawakushiriki hawana vipaji? Mane je hana kibaji? Wewe ni bwege
WATU TUNAONGOZA KWA KUBEZA.. MESSI NI BEST PLAYER , CR7 Ni Beat player as well..CR7 hana kipaji? Ongeza vizuri na halmashauri ya kichwa chako muone kama mnaweza kusema vinginevyo
Kuna uzi kule,game ipo laivu sikuoni,sisi wanarunyasi tupo nyuma bao moja vs WanankurukumbiWatu msimu huu wa sikukuu wanapewa zawadi za Bann
Nilikua nipo mbali na simu na Tv ila naona wamerudisha...hivi umehamia Simba ee π π πKuna uzi kule,game ipo laivu sikuoni,sisi wanarunyasi tupo nyuma bao moja vs Wanankurukumbi
Lewandoski hakushiriki? Ila nyiynyi! Mtachomwa moto siku ya Mwisho.Kwa hiyo kutoingia fainali ndio kukosa kipaji? Lewandoski na Halaand ambao hata hawakushiriki hawana vipaji? Mane je hana kibaji? Wewe ni bwege
Where is okochaMessi
Pele
Maradona
Gaucho
Zidane
Zico
Ronaldo de Lima
Rivaldo.
Iniesta
Xavi..
Mbappe.
Ngolo Kante..
.
Nikikupiga tusi kali Melo atanipiga ban. Acha nikuache tu na kakibao ww Fala sanaHabari za mda huu,