CR7, mchezaji mjivuni asiye na kipaji

CR7, mchezaji mjivuni asiye na kipaji

Mhhh inatafajarisha hii kitu...Ronaldo nae wamsaini
😅😅😅 ronaldo umri umemtupa mazoezi anayofanya na hali ya umri yanakataa hakuna anae mtaka kwa sasa hivi labda akacheza Raja Casablanca , tofauti na King GOAT Messi yule ni karama..
images.jpeg
 
Wabongo banaa, eti Ronaldo hana kipaji hahaaaa. Anaweza asiwe kama Pele, Maradona, Messi, Di Stefano, De lima n.k lakini kusema hana kipaji ni kuukosea mpira heshima. Kwamba mchezaji yeyote akifanya mazoezi atakua kama Ronaldo ni kujidanganya.
 
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup

WC debut yake ilikuwa 2006, alifika semi final, wakatolewa na France ya Zidane(Player of the tournament mwaka huo).

Ulipita mitandao gani ambayo haina hizi taarifa?

Hata kama unamchukia, jitahidi kutafiti uje na ukweli wa habari kumhusu yeye.
Screenshot_20221221-104921.jpg
 
Habari za mda huu,

Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup

Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.

Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.

PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Unaweza cheza football bila kipaji?
 
Wenzenu wanatengeneza pesa nyiee mnakaa kubishana kuhusu wao nani zaidi kama unawajua wote hao basi ujue wanavipaji kama mmoja wao asingekuwa na kipajii basi asingejulikana katika dunia ya football kila anaye mjuaa na kumpenda MESSI kama mimi Pia natambua uwepo wa ronaldo na nakiri anakipajii na vivyohivyo kila anayemjua na kumpenda Ronaldo Pia anamjua MESSI Maswala ya kutokuchukua world cup ni jambo la kimichezo tuu kwanii ronado anacheza peke yake uwanjani au messi anacheza peke yake uwanjanii mimi naamini wote wanavipajii ndio maana tunawajua na kutambua michango yao kama unaamini ronaldo hana kipaji ni mazoezi tuu kafanyee wewe hayo mazoezii tuonee utajulikana sio duniani tanzania kama tutakujua kumpenda mmoja kati ya hao haimaanishi mwingine hajuii Wote wanajua na ndio maana tunawajua [emoji120][emoji120]
 
Watu msimu huu wa sikukuu wanapewa zawadi za Bann
 
Kuna uzi kule,game ipo laivu sikuoni,sisi wanarunyasi tupo nyuma bao moja vs Wanankurukumbi
Nilikua nipo mbali na simu na Tv ila naona wamerudisha...hivi umehamia Simba ee 😀 😀 😀
 
Chawa na zombies wa Miss Penalty wanaendelea kumwaga radhi
 
Na BAN juu


Wape hai huko muone

Kazi wivu tu na limejushuka shuuu 😄😄😄😄😄😄😄
 
Sioni haja ya kumsema vibaya mtu iwapo humkubali, huelewi anachofanya..

Kama unamuelewa MESi haina haja ya kumponda mwingine on top angekua hana kipaji hata wewe hapo usingemsikia au akitrend

Hii Ban i hop itakupa muda wa kujitafakari nafsi yako ina yohate mtu asiyehata jua kama una exist😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
 
Wewe ndiyo maana umepigwa ban kwasababu huna akili
 
Habari za mda huu,

Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup

Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.

Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.

PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Nikikupiga tusi kali Melo atanipiga ban. Acha nikuache tu na kakibao ww Fala sana
 
Back
Top Bottom