Cracking utumishi written interview: Maalum Kwa Kada za ICT

Imekaaje mkuu nitoe tongo tongo
Kikubwa mkuu kwenye Writen soma sana Compailer jamaa nimakatili sana, yaani kwa mfano kwwnye tangazo wakisema ujue labda php mandatory, basi jua unakutana na php,javascript,html,css na Ajax...

Maswali yao wanakupa piece of code unachagua output yake na pia wanakupa syntax error ulekebishe kwa kuchagua jibu,
Mfano
1. What will be the output of the following PHP code?

<?php
"Hello World"
?>

a) Error
b) Hello World
c) Nothing
d) Missing semicolon error
 
Nimekusoma sana kiongozi asante sana 🙏🏿
 
bila shaka hapaa jibu ni A

Back
Top Bottom